-
Wasiopiga chanjo wazidi kuambukizwa corona nchini Uingereza
Sep 23, 2021 10:53Duru za habari zimeripoti kuwa, watu wengi wanaoambukizwa zaidi ugonjwa wa corona au UVIKO-19 nchini Uingereza hivi sasa ni wale wanaokataa kupiga chanjo.
-
Save the Children: Utoaji elimu kwa watoto katika robo ya nchi za dunia unakabiliwa na changamoto kubwa
Sep 07, 2021 01:22Shirika la kimataifa la kutetea haki za watoto la Save The Children limetahadharisha kuwa, utoaji elimu kwa watoto katika robo ya nchi za dunia ambazo zimeathirika na mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi, maambukizi ya COVID-19 na zile zisiso na mawasiliano ya kidijitali unakabiliwa na changamoto kubwa.
-
Putin alaani vikwazo vya Wamagharibi katika kivuli cha janga la Corona Iran
Sep 04, 2021 02:25Rais wa Russia amesema Iran inahitaji usaidizi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, lakini nchi za Magharibi zimekataa katakata kuiondolea vikwazo na vizuizi Jamhuri ya Kiislamu.
-
WHO: COVID-19 kuua watu 236,000 zaidi Ulaya kufikia Disemba
Aug 31, 2021 13:44Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, yumkini watu wengine 236,000 wakaaga dunia kutoka na maradhi ya COVID-19 barani Ulaya kufikia Disemba Mosi mwaka huu.
-
Uingereza yaidhinisha dawa ya kuzuia na kutibu Corona
Aug 21, 2021 02:28Mamlaka ya Kusimamia Dawa na Matibabu Uingereza (MHRA) imeidhinisha kile ilichokitaja kuwa dawa ya aina yake ya kukinga na kutibu ugonjwa wa COVID-19.
-
Spishi mpya ya kirusi cha corona cha Nigeria, ETA yaanza kusambaa kwa kasi duniani
Aug 12, 2021 12:17Wataalamu wa kutambua aina za virusi wametahadharisha kuwa, kirusi cha corona cha Nigeria kinachojulikana kwa jina la Eta kinasambaa kwa kasi kubwa duniani.
-
WHO kufanyia majaribio dawa za malaria, baridi yabisi kama tiba ya COVID-19
Aug 12, 2021 08:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema litafanyia majaribio dawa za ugonjwa wa malaria na aina fulani za saratani ili kuona iwapo zinaweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 au la.
-
Kudhibiti wimbi la tano la maambukizi ya corona na haja ya kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi
Aug 12, 2021 06:44Sambamba na kushadidi mgogoro wa maambukizi ya corona nchini Iran na maeneo mengine ya dunia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa suala la kupambana na virusi hivyo ndilo jukumu kuu na la dharura kwa sasa hapa nchini Iran.
-
WHO yakosoa nchi zinazowapiga watu 'dozi ya ziada' ya chanjo ya Corona
Aug 05, 2021 02:32Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametoa mwito wa kusimamishwa kampeni inayoendelezwa na baadhi ya nchi hususan za Ulaya ya kuwapiga wananchi wao chanjo ya ziada ya kuzuia virusi vya Corona, katika hali ambayo mamilioni ya watu duniani hawajapigwa hata chanjo ya kwanza.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 6 na laki 6
Aug 01, 2021 03:00Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (Corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia jana Jumamosi imepindukia laki sita.