-
UN yataka shule zilizofungwa kwa ajili ya Corona zifunguliwe
Jul 28, 2021 01:30Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufunguliwa haraka iwezekanavyo skuli ambazo zilikuwa zimefungwa katika maeneo mbalimbali duniani kutokana na makali ya janga la Corona.
-
Corona Tanzania; Marufuku kuingia kwenye usafiri wa umma bila barakoa
Jul 26, 2021 12:28Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona ambapo amepiga marufuku wananchi kuingia kwenye vyombo vya usafiri na sehemu za kutoa huduma bila kuvaa barakoa.
-
Maelfu waandamana katika nchi za Magharibi kupinga chanjo ya lazima ya Corona
Jul 25, 2021 11:20Maelfu ya watu wameendelea kuandamana kwa siku kadhaa sasa katika baadhi ya nchi za Magharibi kupinga sheria kali za kudhibiti msambao wa virusi vya Corona na vile vile kulalamikia hatua ya serikali za nchi hizo kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Iran yasajili chanjo yake ya Corona COVIran Barekat katika WHO
Jul 25, 2021 01:22Mchakato wa kusajili chanjo ya kuzuia ugonjwa wa COVID-19 iliyoundwa hapa nchini Iran ya COVIran Barekat katika Shirika la Afya Duniani (WHO) umeanza.
-
Imarati yapiga marufuku raia wake kutembelea nchi 8 za Afrika
Jul 02, 2021 06:42Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umewataka raia wake wasitembelee nchi 14 duniani nyingi zake zikiwa ni za barani Afrika kwa madai ya kuenea maambukizo ya kirusi cha corona.
-
Uganda yaidhinisha matumizi ya dawa ya asili 'kutibu Corona'
Jun 30, 2021 02:27Serikali ya Uganda imeidhinisha matumizi ya dawa ya mitishamba ya 'Covidex' kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayosababishwa na virusi ukiwemo ugonjwa wa Covid-19.
-
Rais wa DRC: Hospitali Kinshasa zimefurika wagonjwa wa Corona
Jun 14, 2021 02:23Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametahadharisha kuwa, nchi hiyo huenda ikakabiliwa na maafa makubwa katika wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya Corona.
-
Vikwazo vya Marekani kipindi cha corona ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 06, 2021 02:37Wimbi la maambukizi ya virusi vya corona linaendelea kuchukua roho za watu katika nchi mbalimbali duniani huku jumuiya za kimataifa zikisisitiza udharura wa kutolewa chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo na kusambazwa chanjo hiyo na vifaa vingine vya tiba ili kufanikisha jitihada za kuvuka kipindi cha sasa cha janga hilo la kimataifa.
-
Chanjo bilioni 2 za Corona zimetolewa kote duniani kufikia sasa
Jun 04, 2021 02:47Zaidi ya dozi bilioni mbili za chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 zimekwishapeanwa katika maeneo mbalimbali ya dunia kufikia sasa, huku China ikiongozwa kwa kutoa dozi milioni 704.83.
-
Wanaokubali chanjo ya Corona Marekani kupewa 'zawadi' ya bunduki
Jun 02, 2021 07:15Jimbo la West Virginia nchini Marekani limetangaza 'zawadi' mbalimbali kwa wakazi wa jimbo hilo wataokubali kupigwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, ikiwemo zawadi ya bunduki.