Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

corona

  • Brazil yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, zaidi ya 4,000 waaga dunia

    Brazil yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, zaidi ya 4,000 waaga dunia

    Apr 07, 2021 07:35

    Kwa mara ya kwanza tangu janga la Corona liikabili dunia mapema mwaka jana, zaidi ya watu 4,000 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Brazil katika kipindi cha siku moja.

  • Rais wa Tanzania kuunda kamati ya Corona, ataka vyombo vya habari vifunguliwe

    Rais wa Tanzania kuunda kamati ya Corona, ataka vyombo vya habari vifunguliwe

    Apr 06, 2021 13:49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ataunda kamati ya wataalamu watakaochambua kwa kina ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kuishauri Serikali hatua za kuchukua.

  • Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Apr 03, 2021 02:46

    Kenya imepokea msaada wa suhula za matibabu na vifaa vya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Utafiti: Ni salama kufunga Saumu katika janga la Corona

    Utafiti: Ni salama kufunga Saumu katika janga la Corona

    Apr 03, 2021 02:43

    Utafiti mpya uliofanywa nchini Uingereza umebainisha kuwa, funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ya mwaka jana 2020 haikusababisha kuongezeka idadi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 miongoni mwa Waislamu nchini humo, kama ilivyodaiwa na baadhi ya viongozi na wanasiasa wahafidhina katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain

    Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain

    Mar 30, 2021 02:32

    Harakati ya Al Wifaq ya Bahrain imesema ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha maambukizi ya corona kwa wafungwa wanamapinduzi na jinsi utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unavyolipuuza suala hilo.

  • WHO: Kunahitajika ushirikiano wa nchi mbalimbali ili kutokomeza corona

    WHO: Kunahitajika ushirikiano wa nchi mbalimbali ili kutokomeza corona

    Mar 25, 2021 07:57

    Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametoa wito kwa nchi mbalimbali kutekeleza juhudi na ushirikiano wa pamoja katika mapambano dhidi ya corona.

  • Wazungu wazidi kukatishwa tamaa na chanjo wa corona ya Uingereza

    Wazungu wazidi kukatishwa tamaa na chanjo wa corona ya Uingereza

    Mar 24, 2021 07:04

    Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya Wazungu wa Ulaya hawana imani na wamekatishwa tamaa na chanjo ya corona ya Uingereza ijulikanayo kwa jina la AstraZeneca.

  • Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Mar 21, 2021 07:40

    Maafisa wa polisi katika nchi kadhaa za Ulaya wamekosolewa kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuzima maandamano ya wananchi wanaopinga maagizo mapya ya serikali za nchi hizo yaliyotangazwa kwa ajili kuzuia msambao wa wimbi la tatu la virusi vya Corona.

  • Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Mar 17, 2021 04:40

    Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia hapo jana alipokea chanjo ya Corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza, kuashiria kuanza kwa kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya Corona katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Spishi mpya ya kirusi cha corona yagunduliwa nchini Ufaransa

    Spishi mpya ya kirusi cha corona yagunduliwa nchini Ufaransa

    Mar 16, 2021 12:22

    Idara Kuu ya Afya na Tiba ya Ufaransa imetangaza kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS