-
Matumizi ya mihadarati yaongezeka mara 10 magharibi mwa Afrika
Nov 04, 2019 02:27Ofisi ya Kupambana na Mihadarati ya Umoja wa Mataifa imesema katika ripoti yake mpya kwamba matumizi ya madawa ya kulevya yameongezeka mara 10 katika kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi 2017 huko magharibi mwa Afrika.
-
Iran inaongoza katika vita dhidi ya mihadarati duniani
Jun 12, 2019 04:27Katibu Mkuu wa Idara ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa sababu ya kutolipa uzito suala ya kupambana na mihadarati. Aidha amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaongoza katika kupambana na mihadarati duniani."
-
Utumiaji wa mihadarati Misri watia fora, hata watoto wa miaka 9 wanavuta
Mar 12, 2019 16:16Afisa mmoja wa serikali ya Misri amesema kuwa, kiwango cha utumiaji wa dawa za kulevya na mihadarati kimeongezeka na kufikia asilimia 10.4 nchini humo na kwamba umri wa watumiaji wa dawa hizo pia umepungua kiasi kwamba hata watoto wa miaka 9 wanatumia madawa hayo.
-
UN: Jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran katika kupambana na madawa ya kulevya
Jan 17, 2019 16:16Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) ya hapa mjini Tehran amesema, kuna udharura wa dunia kuwa na mshikamano na Iran katika kupambana na mihadarati.
-
Kiwango cha matumizi ya dawa za kulevya kati ya askari wa Israel chaongezeka
Sep 04, 2018 02:37Kufuatia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa askari wa utawala haramu wa Israel, polisi ya utawala huo imelazimika kutia mbaroni idadi kadhaa ya askari hao kwa tuhuma za matumizi na ulanguzi wa mihadarati hiyo.
-
Zaidi ya watu elfu 71 walikufa mwaka jana nchini Marekani kutokana na matumizi ya dawa za kulevya
Aug 20, 2018 04:20Vifo vinavyotokana na matumizi ya dawa za kulevya nchini Marekani, vimefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa ambapo mwaka jana 2017 watu 71,568 walifariki dunia kutokana na janga hilo.
-
DEA: Mamia hufariki dunia kila siku Marekani kutokana na matumizi ya dawa za kulevya
Aug 13, 2018 07:43Idara ya kupambana na madawa ya kulevya nchini Marekani Drug Enforcement Administration (DEA) imesema kuwa, mamia ya watu hufariki dunia nchini humo kila siku kutokana na matumizi ya dawa za kulevya.
-
Iran: Jumuiya za kimataifa hazijatekeleza majukumu yao katika kupambana na dawa za kulevya
Jul 25, 2018 07:45Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaendelea kupambana peke yake na dawa za kulevya kwa niaba ya dunia nzima na kwamba taasisi za kimataifa na nchi za Ulaya hazijatekeleza majukumu yao ipasavyo katika uwanja huo.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran: Ushirikiano wa kimataifa; njia ya ufumbuzi wa tatizo la mihadarati
Mar 13, 2018 02:43Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utatuzi wa tatizo la madawa ya kulevya unahitajia azma, irada ya kimataifa na kuimarishwa ushirikiano sambamba na kujiepusha na mijadala isiyo na maana, ya upande mmoja na ya kisiasa.
-
Ongezeko la utumiaji wa wanawake wa Kiafghani katika magendo ya dawa za kulevya
Feb 21, 2018 08:00Msemaji wa Idara ya Kupambana na Magendo ya Dawa za Kulevya nchini Afghanistan amesema kuwa kumekuwepo ongezeko la utumiaji wa wanawake wa Kiafghani katika magendo ya dawa za kulevya.