Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Mawaziri wa G20 wataka mabadiliko WTO kukabiliana na uhasama wa Marekani

    Mawaziri wa G20 wataka mabadiliko WTO kukabiliana na uhasama wa Marekani

    Sep 15, 2018 20:43

    Mawaziri wa biashara na uwekezaji wa nchi tajiri duniani za kundi la G20 wamesema kuna haja ya kufanyika mabadiliko ya dharura katika Shirika la Biashara Duniani WTO kukabiliana na vita vya kibiasahra vya Marekani dhidi ya China.

  • John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA

    John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA

    Sep 15, 2018 20:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani sambamba na kutetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, amekiri kwamba, kwa kuzingatia ukiukaji wa ahadi wa Marekani, hakutofanyika mazungumzo yoyote kati ya Iran na Washington.

  • Katibu Mkuu wa UN ahimiza mwenendo wa kukomeshwa satua ya Marekani duniani

    Katibu Mkuu wa UN ahimiza mwenendo wa kukomeshwa satua ya Marekani duniani

    Sep 14, 2018 09:49

    Tangu Donald Trump aliposhika hatamu za kuiongoza Marekani amekuwa akitekeleza siasa za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja kuhusiana na masuala ya kimataifa. Ikulu ya Rais wa Marekani,White House, tofauti kabisa na uhakika wa mambo, inadai kwamba siasa za Trump zimeipa tena Marekani usukani wa kuiongoza dunia, madai ambayo yamewashangaza wachambuzi na weledi wa mambo.

  • Donald Trump amevunja rekodi ya kusema uongo

    Donald Trump amevunja rekodi ya kusema uongo

    Sep 13, 2018 23:01

    Gazeti maarufu la Washington Post la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo Donald Trump amevunja rekodi zote za kusema uongo.

  • Yemen: Trump na washirika wake wanahusika na mauaji al Hudaydah

    Yemen: Trump na washirika wake wanahusika na mauaji al Hudaydah

    Sep 13, 2018 09:25

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani, Saudi Arabia na Imarati wanahusika na mauaji ya wakazi wa mji wa al Hudaydah.

  • Utafiti: Wapalestina wengi hawana imani na Trump

    Utafiti: Wapalestina wengi hawana imani na Trump

    Sep 12, 2018 09:21

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo cha Utafiti na Sera cha Palestina umeonesha kuwa, aghalabu ya Wapalestina hawana imani na Rais Donald Trump wa Marekani na wala hawataki serikali ya Washington ijihusishe na mazungumzo ya amani ya nchi yao.

  • Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani

    Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani

    Sep 10, 2018 02:54

    Gazeti moja la nchini Marekani limeripoti kuwa, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, leo Jumatatu atatangaza kufungwa ofisi ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO mjini Washington.

  • Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA

    Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA

    Sep 09, 2018 11:33

    Mkurugenzi wa Sera za Kuzuia Silaha za Maangamizi katika Shirika la Kudhibiti Silaha la Marekani amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamuweke kiti moto Rais Donald Trump wa Marekani wakati atakapohudhuria kikao cha baraza hilo.

  • Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili

    Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili

    Aug 31, 2018 02:28

    Kiongozi maarufu wa upinzani nchini Afrika Kusini amekosoa vikali safari ya hivi karibuni ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya nchini Marekani na mazungumzo yake na rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Uchunguzi: Trump, rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Uchunguzi: Trump, rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Aug 28, 2018 01:36

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, wananchi wa Marekani wanamtambua Donald Trump kuwa ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS