Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!

    Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!

    Aug 26, 2018 22:50

    Wakulima nchini Afrika Kusini wamekasirishwa na matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani, Donald Trump na kumtaka asijiingize katika mambo yasiyomuhusu.

  • Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Aug 26, 2018 22:48

    Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.

  • Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku

    Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku

    Aug 25, 2018 06:44

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidhihirisha misimamo yake ya kibaguzi tangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na hata baada ya kuingia Ikulu ya White House.

  • Zarif: Kesi ya Iran dhidi ya Marekani ICJ ina nguvu sana

    Zarif: Kesi ya Iran dhidi ya Marekani ICJ ina nguvu sana

    Aug 24, 2018 09:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, kesi ya Iran dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu, ICJ, ina nguvu sana. Ameongeza kuwa Marekani sasa imejikita zaidi katika masuala ya kipropagnada kuhusu kesi hiyo.

  • Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Aug 23, 2018 22:13

    Tokea wakati Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani hadi sasa, amekumbwa na changamoto nyingi ndani ya nchi. Moja ya changamoto hizo ni tuhuma kuwa Russia ilihusika katika kuingilia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 kwa maslahi ya Trump.

  • Newsweek: Mchakato wa kumuuzulu Trump unakaribia zaidi

    Newsweek: Mchakato wa kumuuzulu Trump unakaribia zaidi

    Aug 23, 2018 02:39

    Jarida la Newsweek la Marekani limeandika ripoti kuhusu uamuzi wa mahakama ya nchi hiyo uliyompata na hatia mwenyekiti wa zamani wa timu ya kampeni za uchaguzi ya Rais Donald Trump na hatua ya wakili wa zamani wa kiongozi huyo ya kukiri kufanya makosa kadhaa na kusisitiza kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa kusailiwa na kuuzuliwa Trump.

  • Ungamo la kihistoria la Trump: Lilikuwa kosa kubwa Marekani kujiingiza Mashariki ya Kati

    Ungamo la kihistoria la Trump: Lilikuwa kosa kubwa Marekani kujiingiza Mashariki ya Kati

    Aug 22, 2018 21:09

    Rais wa Marekani amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa lilikuwa kosa tangu awali kwa vikosi vya nchi hiyo kuwepo katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Aug 19, 2018 00:01

    Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.

  • Seneti ya Marekani yapasisha azimio dhidi ya sera za kidikteta za Trump

    Seneti ya Marekani yapasisha azimio dhidi ya sera za kidikteta za Trump

    Aug 17, 2018 03:39

    Baraza la Seneti la Marekani limepasisha azimio linalokosoa mienendo ya rais wa nchi hiyo dhidi ya vyombo vya habari.

  • Magazeti ya Marekani yaingia vitani na Rais Donald Trump

    Magazeti ya Marekani yaingia vitani na Rais Donald Trump

    Aug 16, 2018 09:04

    Zaidi ya magazeti 340 ya Marekani yakiwa na lengo la kukosoa misimamo ya chuki ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuhusiana na vyombo vya habari, yamechapisha makala zinazoshambulia na kulaani hatua za rais huyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS