Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Amnesty International lakosoa siasa za ubaguzi zinazotekelezwa na Trump

    Amnesty International lakosoa siasa za ubaguzi zinazotekelezwa na Trump

    Aug 13, 2018 03:32

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International na katika kumbukumbu za mwaka mmoja za matukio ya Charlottesville, Marekani limekosoa siasa za ubaguzi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Trump aendelea kutoa vitisho dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran

    Trump aendelea kutoa vitisho dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran

    Aug 07, 2018 23:46

    Rais Donald Trump wa Marekani amezitishia tena nchi zenye uhusiano wa kibiashara na Iran baada ya kupuuzwa amri aliyotoa ya kutekelezwa tena vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Zarif: Trump, Muhammad bin Salman na Netanyahu ni nembo ya ukatili duniani

    Zarif: Trump, Muhammad bin Salman na Netanyahu ni nembo ya ukatili duniani

    Aug 06, 2018 09:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ni nembo ya ukatili, uvunjaji wa haki, ukandamizaji na kutoaminiana duniani.

  • Seneta Bernie Sanders: Trump ana maradhi ya kusema uongo

    Seneta Bernie Sanders: Trump ana maradhi ya kusema uongo

    Aug 06, 2018 08:35

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani, Bernie Sanders amemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwamba, anawahadaa wapiga kura kwa kuwaambia uongo.

  • Foreign Policy: Trump anaupotosha umma kuhusu hali ya umasikini Marekani

    Foreign Policy: Trump anaupotosha umma kuhusu hali ya umasikini Marekani

    Aug 04, 2018 22:02

    Jarida la Foreign Policy limetoa ripoti na kueleza kwamba serikali ya Marekani inaupotosha umma kuhusu hali ya umasikini nchini humo.

  • Marekani inatekeleza mpango wa siri wa kuzika haki ya kurejea wakimbizi wa Palestina

    Marekani inatekeleza mpango wa siri wa kuzika haki ya kurejea wakimbizi wa Palestina

    Aug 04, 2018 10:39

    Mkwe wa Rais wa Marekani anafanya kila linalowezekana kulifunga Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ambalo limekuwa likitoa huduma za msingi kwa mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina katika miongo kadhaa iliyopita.

  • Ivanka Trump apinga siasa za uhamiaji, vyombo vya habari za baba yake

    Ivanka Trump apinga siasa za uhamiaji, vyombo vya habari za baba yake

    Aug 03, 2018 20:56

    Binti wa Rais Donald Trump wa Marekani, Ivanka Trump amepinga sera na siasa za baba yake kuhusiana na wahajiri.

  • Donald Trump ashikilia rekodi ya

    Donald Trump ashikilia rekodi ya "Rais mwongo zaidi wa Marekani"

    Aug 02, 2018 10:23

    Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limeripoti kuwa, Donald Trump ndiye Rais mwongo zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Kharrazi amjibu Trump na kumtaka kwanza atekeleze ahadi za serikali zilizotangulia za Marekani

    Kharrazi amjibu Trump na kumtaka kwanza atekeleze ahadi za serikali zilizotangulia za Marekani

    Jul 31, 2018 10:40

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Sera za Kigeni la Iran Dkt. Kammal Kharrazi ametoa jibu kwa pandekezo la Rais Donald Trump wa Marekani la kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na wakuu wa Iran na kusema: "Kabla ya yote, Donald Trump anapaswa kutekeleza ahadi na mikataba ya serikali zilizotangulia za Marekani na aheshimu sheria za kimataifa."

  • Waters: Mkanda wa sauti wa Trump umefichua zaidi kuwa ni msema uongo

    Waters: Mkanda wa sauti wa Trump umefichua zaidi kuwa ni msema uongo

    Jul 30, 2018 07:45

    Mbunge wa chama cha Democratic nchini Marekani amesema kuwa mkanda wa sauti wa mazungumzo ya Donald Trump wa nchi hiyo na wakili wake wa zamani umeweka wazi zaidi kuwa kiongozi huyo ni mrongo na kidhabi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS