-
Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani
Jul 27, 2018 02:07Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi zaidi katika utawala wa Donald Trump zimekuwa kero kwa aghlabu ya mataifa yote huru na yanayojitawala duniani.
-
Madai ya Donald Trump ya kuwa tayari kufikia makubaliano na Iran
Jul 25, 2018 03:48Licha ya kuweko uadui na uhasama wa Marekani dhidi ya Iran katika kipindi cha miaka takribani 40 tangu kuasisiwa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu, lakini katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, uadui huo ulishadidi zaidi iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi na hata baada ya kuingia madarakani.
-
Kulegeza kamba White House kuhusiana na bwabwaja za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 24, 2018 20:49Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imeshadidisha misimamo na hatua zilizo dhidi ya Iran.
-
White House yalegeza kamba kuhusu matamshi ya vitisho ya Trump dhidi ya Iran
Jul 24, 2018 03:18Msemaji wa Ikulu ya Marekani (White House) amelegeza kamba kuhusiana na matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Qassemi katika kujibu Tweet ya Trump: Taifa la Iran litatoa jibu kwa uchokozi
Jul 23, 2018 09:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu ujumbe wa kichochezi wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani na kusema: "Watu wa Iran daima wamekuwa wakijibu vitisho kwa vitisho, na ukarimu kwa ukarimu na hivyo watatoa jibu kali kwa utumiaji mabavu na uchokozi."
-
Raia wazalendo wa Marekani waandamana dhidi ya siasa za Donald Trump
Jul 22, 2018 23:29Raia asili wa Marekani na wasio wazungu, wamefanya maandamano kupinga siasa mbovu za hali ya hewa zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Mbunge wa chama tawala Marekani ataka Trump auzuliwe
Jul 19, 2018 11:05Mbunge wa chama tawala cha Republican nchini Marekani amekosoa vikali utendaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo na kutoa wito wa kusailiwa na kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye katika Kongresi ya nchi hiyo.
-
Tony Schwartz: Rais Donald Trump wa Marekani amepatwa na kichaa
Jul 17, 2018 22:00Mwandishi maarufu wa Kimarekani ameelezea hali ya kisaikolojia ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwamba ni yenye mgogoro na kwamba ni mtu aliyepoteza akili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani: Marekani haiaminiki tena
Jul 16, 2018 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amejibu matamshi na hujuma ya maneno ya Rais wa Marekani aliyeutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni "adui" kwa kusema: Ulaya haiwezi tena kuitegemea Ikulu ya Rais wa Marekani.
-
Rais Donald Trump: Umoja wa Ulaya ni adui wa Marekani
Jul 15, 2018 23:41Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi mapya akiutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni adui wa Marekani.