Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Biden: Trump ni rais fisadi zaidi katika historia ya sasa ya Marekani

    Biden: Trump ni rais fisadi zaidi katika historia ya sasa ya Marekani

    Jul 12, 2020 23:38

    Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat amesema, Donald Trump ni rais fisadi zaidi katika historia ya sasa ya nchi hiyo kwa namna anavyotumia vibaya mamlaka yake kwa ajili ya kuwanufaisha watu wake wa karibu.

  • Tishio jipya la Donald Trump dhidi ya Venezuela

    Tishio jipya la Donald Trump dhidi ya Venezuela

    Jul 12, 2020 08:05

    Katika hali ambayo siasa za chuki na hasama za Marekani dhidi ya Venezuela hadi sasa zimeshindwa na kugonga mwamba, Rais Donald Trump kwa mara nyingine tena ametoa matamshi ya vitisho kwa kusema: Kuna mambo yatatokea kuhusiana na Venezuela.

  • Wasomi, wanachuo wa Kenya nchini Marekani wakosoa agizo la Trump dhidi yao

    Wasomi, wanachuo wa Kenya nchini Marekani wakosoa agizo la Trump dhidi yao

    Jul 11, 2020 10:18

    Wahadhiri na wanachuo raia wa Kenya walioko Marekani wamekosoa vikali agizo lililotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump, la kutaka wanafunzi wote wa kigeni waondoke nchini humo ndani ya miezi miwili ijayo.

  • Kujiondoa rasmi Marekani katika Shirika la Afya Duniani WHO

    Kujiondoa rasmi Marekani katika Shirika la Afya Duniani WHO

    Jul 09, 2020 04:51

    Msimamo wa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ni kupuuza, kukosoa, kutoa vitisho na hatimaye kujitoa katika mashirika ya kimataifa na hasa yale yanayopinga matakwa na maslahi haramu ya nchi hiyo na ya washirika wake na hasa utawala haramu wa Israel.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji  dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Jul 08, 2020 02:02

    Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.

  • Associated Press: Wakuruba wa Trump wamepora mabilioni ya dola za corona

    Associated Press: Wakuruba wa Trump wamepora mabilioni ya dola za corona

    Jul 06, 2020 22:00

    Kundi moja la ukaguzi nchini Marekani limefichua kwamba watu wa karibu na Rais Donald Trump wa nchi hiyo wamepora na kutafuna mabilioni ya dola zilizokuwa zimetengwa kama bajeti ya kuwasaidia waathirika wa virusi vya corona.

  • Trump ajifanya tena daktari bingwa wa corona; FDA yaja juu

    Trump ajifanya tena daktari bingwa wa corona; FDA yaja juu

    Jul 06, 2020 03:17

    Shirika la Chakula na Madawa la Marekani FDA limekosoa vikali matamshi mapya ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump aliyedai kuwa asilimia 99 ya kesi za corona hazina hatari yoyote na kusema kuwa madai hayo si sahihi hata kidogo.

  • Waandamanaji wateketeza bendera ya Marekani nje ya White House baada ya hotuba ya Trump

    Waandamanaji wateketeza bendera ya Marekani nje ya White House baada ya hotuba ya Trump

    Jul 05, 2020 03:18

    Waandamanaji waliokuwa na hasira waliteketeza moto bendera ya Marekani nje ya Ikulu ya White House mjini Washington baada ya hotuba ya Rais Donald Trump kwa mnasaba wa siku ya 'uhuru' wa nchi hiyo jana Julai nne.

  • Faili la kuuawa Qassim Soleimani: Iran yatoa waranti wa kutiwa mbaroni Trump

    Faili la kuuawa Qassim Soleimani: Iran yatoa waranti wa kutiwa mbaroni Trump

    Jun 29, 2020 23:16

    Mwendesha Mashtaka wa Tehran ametoa waranti wa kutiwa mbaroni watu 36 akiwemo Rais Donald Trump wa Marekani wakihusishwa na mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) Luteni Jenerali Shahid Qassem Soleimani.

  • Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa  Marekani

    Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani

    Jun 29, 2020 22:03

    Njama za nchi za Magharibi za kutaka kuyatwisha mataifa mengine shabaha na malengo yake zimekumbwa na upinzani wa nchi nyingine duniani. Hasa ikitiliwa maanani kuwa nchi za Magharibi hususan Marekani siku zote zimekuwa zikitaka kuidhibiti dunia na kutwisha misimamo na hatua zake za upande mmoja duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS