Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Wamarekani waunga mkono mpango wa kumshtaki Trump ICC

    Wamarekani waunga mkono mpango wa kumshtaki Trump ICC

    Jan 25, 2020 08:09

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonesha Wamarekani wanaunga mkono mpango wa kushtakiwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani.

  • Mousavi: Ndoto za Trump za kufikia mapatano mapya na Iran hazitoaguka

    Mousavi: Ndoto za Trump za kufikia mapatano mapya na Iran hazitoaguka

    Jan 24, 2020 02:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndoto ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuikia makubaliano mapya na Iran itaendelea kubakia kuwa ndoto isiyoagulika.

  • Chris Murphy akosoa kitendo cha Trump kusema uongo kuhusu hasara iliyotokana na shambulio la Iran Ain Assad

    Chris Murphy akosoa kitendo cha Trump kusema uongo kuhusu hasara iliyotokana na shambulio la Iran Ain Assad

    Jan 23, 2020 23:22

    Chris Murphy, Seneta wa Marekani amesema kuwa hadi sasa Rais Donald Trump wa nchi hiyo ameendelea kuwahadaa Wamarekani kuhusu hasara iliyotokana na shambulio la makombora ya Iran kwenye kambi yake ya jeshi ya Ain Assad nchini Iraq.

  • Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja

    Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja

    Jan 23, 2020 08:30

    Hatua ya hivi karibuni ya troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ya kuanza kutekeleza utaratibu wa kutatua tofauti ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ambayo imeanzishwa kwa mashinikizo ya Marekani, imekabiliwa na radiamali kali ya Iran.

  • Trump aweka rekodi ya kuandika na kutuma jumbe 125 za Twitter katika siku moja

    Trump aweka rekodi ya kuandika na kutuma jumbe 125 za Twitter katika siku moja

    Jan 23, 2020 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani ameweka rekodi katika urais wake ya kupitisha muda mwingi katika mtandao wa kijamii anaopendelea kuutumia wa Twitter baada ya kuandika na kutuma jumbe 125 hapo jana sambamba na kuanza rasmi kesi ya kutaka kumuuzulu katika Seneti ya nchi hiyo.

  • Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Jan 22, 2020 08:37

    Marekani ina mpango wa kuziongeza nchi nyingine saba zikiwemo Tanzania na Nigeria kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wanatarajiwa kuwekewa vikwazo na vizingiti vya kuingia nchini humo.

  • Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran

    Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran

    Jan 22, 2020 03:16

    Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba, madai yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba Iran ilikuwa na nia ya kushambulia balozi nne za Marekani yamewashangaza na kuwaacha bumbuazi hata washauri wake mwenyewe.

  • Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe

    Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe

    Jan 21, 2020 07:00

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo ahukumiwe na kuondolewa madarakani.

  • Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump nchini Marekani

    Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump nchini Marekani

    Jan 19, 2020 04:32

    Makumi ya maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya wanawake.

  • Njama za Marekani za kutaka kuficha hasara kubwa za shambulizi la makombora ya Iran huko Ainul Asad

    Njama za Marekani za kutaka kuficha hasara kubwa za shambulizi la makombora ya Iran huko Ainul Asad

    Jan 18, 2020 09:13

    Katika jitihada zake za kutimiza ahadi ya kulipiza kisasi kikali dhidi ya Marekani kutokana na mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na nchi hiyo dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wana jihadi wenzake, Alfajii ya Jumatano tarehe 8 Januari Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilishambulia kambi kubwa zaidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Iraq ya Ainul Asad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS