Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Dunia

  • Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona

    Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona

    Apr 22, 2020 22:47

    Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia imetangaza kuwa zaidi ya vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa lengo la kushrikiana katiak mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.

  • Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu

    Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu

    Apr 09, 2020 22:02

    Mlipuko wa virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 kwa sasa umeenea karibu katika mataifa yote ya ulimwengu.

  • Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa

    Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa

    Apr 05, 2020 07:19

    Waziri wa zamani wa Marekani, Henry Kissinger, amesema katika makala yake iliyochapishwa kwenye gazeti la The Wall Street Journal kwamba, mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona utabadilisha mfumo wa dunia milele.

  • Tahadhari ya mashirika ya kimataifa kuhusu janga la uhaba wa chakula litakaloikumba dunia

    Tahadhari ya mashirika ya kimataifa kuhusu janga la uhaba wa chakula litakaloikumba dunia

    Apr 02, 2020 22:24

    Kuendelea na kushadidi janga la kirusi cha COVID-19 kumezidisha wasiwasi uliopo kuhusu mustakabali wa kiuchumi na kijamii wa nchi mbalimbali duniani hasa zile zilizo dhaifu. Hofu ya baa la njaa na jinsi ya kudhamini chakula ni miongoni masuala makuu yanayojadiliwa hivi sasa.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kushtadi mivutano ya kibiashara duniani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kushtadi mivutano ya kibiashara duniani

    May 11, 2019 06:40

    Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameamua kuingia katika vita vya kibiashara na aghalabu ya nchi zilizo na uchumi unaonawiri duniani kwa kutekeleza siasa za kiuchumi za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja na kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingia Marekani.

  • Larijani: Wairani wataifanya Marekani ijute

    Larijani: Wairani wataifanya Marekani ijute

    Apr 28, 2019 09:44

    Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema Wairani kwa kusimama kwao kidete watapelekea watawala wa Marekani wajute.

  • Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran

    Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran

    Apr 10, 2019 03:27

    Nchi mbalimbali duniani zimeendelea kukosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi.

  • Mgogoro wa chakula kuwaathiri mamilioni ya watu mwaka huu duniani, Yemen yaongoza + Video

    Mgogoro wa chakula kuwaathiri mamilioni ya watu mwaka huu duniani, Yemen yaongoza + Video

    Apr 03, 2019 02:11

    Wanasayansi wametahadharisha kuwa, mgogoro wa chakula utawaathiri makumi ya mamilioni ya watu duniani mwaka huu wa 2019 huku vita, majanga ya kimaumbile hasa yatokanayo na hali mbaya ya hewa na migogoro wa kiuchumi ikiwaweka zaidi ya watu milioni 113 katika mahitaji makubwa ya misaada ya kibinadamu mwaka jana.

  • Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Feb 18, 2019 03:00

    Katika fremu ya nara yake ya "Marekani Kwanza" inayotoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani na kupuuza maslahi ya nchi nyingine duniani, Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa siasa za kuchukua maamuzi za upande mmoja na za kibinafsi za Washington zitazidisha nguvu za nchi hiyo dhidi ya wapinzani wake.

  • Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran

    Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran

    Nov 04, 2018 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera hasi na maamuzi yanayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani yanakabiliwa na upinzani mkubwa katika kila kona ya dunia, huku Washington ikijiandaa kuanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS