Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Dunia

  • Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Oct 26, 2018 01:19

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wametoa wito wa kuimarishwa Umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana na njama za Marekani na Israel.

  • Karibu asilimia 70 ya watu duniani hawana imani na siasa za Trump

    Karibu asilimia 70 ya watu duniani hawana imani na siasa za Trump

    Oct 15, 2018 00:17

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Marekani ya PEW unaonyesha kuwa karibu asilima 70 ya walimwengu hawana imani na siasa zinazotekelezwa na rais wa Marekani.

  • Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani

    Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani

    Oct 02, 2018 23:12

    Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimepelekea kuongezeka hali ya kutengwa nchi hiyo ulimwenguni.

  • Lugha ya Kifarsi inafunzwa katika vyuo vikuu 200 duniani

    Lugha ya Kifarsi inafunzwa katika vyuo vikuu 200 duniani

    Apr 23, 2018 22:46

    Lugha ya Kifarsi, ambayo ni lugha rasmi na ya taifa nchini Iran, hivi sasa inafunzwa katika zaidi ya vyuo vikuu 200 duniani.

  • Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani

    Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani

    Mar 15, 2018 11:29

    Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani unaonyesha kuwa, Uislamu ndiyo dini kubwa inayokuwa na kuongezeka kwa kasi duniani ikilinganishwa na dini nyingine.

  • Kuongezeka gharama za kijeshi ulimwenguni na kukinzana kwake na Malengo ya Milenia

    Kuongezeka gharama za kijeshi ulimwenguni na kukinzana kwake na Malengo ya Milenia

    Jan 04, 2018 23:00

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imesema katika ripoti yake kwamba, gharama za kijeshi ulimwenguni ziliongezeka kwa asilimia 46 katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015.

  • Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini vyaongezewa muda

    Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini vyaongezewa muda

    Dec 15, 2017 03:36

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha uamuzi wa kurefusha muda wa kuhudumu Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kwa miezi mitatu zaidi.

  • "Wazayuni ndio watu wanaogopa kifo zaidi duniani"

    Oct 05, 2017 00:49

    Kituo kimoja wa Kizayuni kimetangaza data zilizotolewa na kituo cha kukusanya takwimu za hoteli za kimataifa na kukiri kuwa, Wazayuni ni watu nambari moja kwa woga na kuogopa kifo duniani.

  • Saudia imetumia fedha nyingi kuiziba mdomo jamii ya kimataifa isizungumzie jinai inazofanya Yemen

    Saudia imetumia fedha nyingi kuiziba mdomo jamii ya kimataifa isizungumzie jinai inazofanya Yemen

    Apr 27, 2017 11:28

    Mkuu wa Taasisi iitwayo "Haki za Binaadamu kwa ajili ya Yemen" amesema kuwa, Saudi Arabia imetumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kuinyamazisha jamii ya kimataifa isizungumzie jinai zake inazozitenda nchini Yemen na pia kuhusu hali mbaya ya kibinaadamu inayoshuhudiwa hivi sasa nchini humo.

  • WHO: Watu bilioni 2 duniani wanakunywa maji machafu

    WHO: Watu bilioni 2 duniani wanakunywa maji machafu

    Apr 13, 2017 02:58

    Shirika la Afya Duniani limesema watu bilioni 2 kote duniani wanatumia maji machafu na kusisitiza kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa kila mtu anapata maji safi ya kunywa na anaishi katika mazingira safi yenye mifumo ya kuondoa majitaka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS