• Viongozi mbali mbali duniani waomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Viongozi mbali mbali duniani waomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Jan 10, 2017 08:20

    Huku shughuli za kumzika Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu hapa nchini, Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani zikiendelea, shakhsia na viongozi mbali mbali wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha mwanachuoni huyo.

  • Rais Rouhani: NAM inaweza kutatua matatizo ya dunia

    Rais Rouhani: NAM inaweza kutatua matatizo ya dunia

    Sep 18, 2016 03:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi baina ya nchi wananchama wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM.

  • "Bila kudhibitiwa Uwahabi, ugaidi hautokuwa na mwisho duniani"

    Jul 29, 2016 04:17

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Iraq amesema, bila kudhibitiwa Uwahabi, ugaidi hautotokomezwa duniani.

  • UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV

    UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV

    Jul 13, 2016 15:20

    Idara ya Kupambana na Virusi vya HIV ya Umoja wa Mataifa (UNAIDS) imetahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi hivyo kote duniani baada ya kuripotiwa habari za kuongezeka kesi za mambuzi ya virusi hivyo hatari.

  • Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...

    Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...

    Jul 02, 2016 09:57

    Rubani wa ndege hii, bila ya kujali idadi kubwa ya roho za watu zilizoko kwenye dhima yake, alifanya mchezo huu wakati akirusha ndege. Michezo ya namna hii haifai...

  • Kuongezeka malalamiko ya kimataifa dhidi ya Israel

    Kuongezeka malalamiko ya kimataifa dhidi ya Israel

    Jun 01, 2016 03:11

    Taasisi 16 za kimataifa kote ulimwenguni zimeandika barua zikilaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumpiga marufuku ya kusafiri, Omar Barghouthi, mwasisi wa Harakati ya Kimataifa ya Kuisusia Israel BDS.

  • Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Apr 30, 2016 09:05

    Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.

  • Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Apr 30, 2016 07:43

    Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu