-
Rais Erdoğan akataa ombi la kujiuzulu Waziri wake wa Mambo ya Ndani
Apr 13, 2020 06:45Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametupilia mbali ombi la kujiuzulu Waziri wake wa Mambo ya Ndani.
-
Wahajiri kutoka Syria, kisingizio kinachotumiwa na Rais Erdoğan wa Uturuki kuushinikiza Umoja wa Ulaya
Mar 05, 2020 06:45Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelikataa pendekezo la Umoja wa Ulaya kuhusu kadhia ya wahajiri na kusema: Hakuna mtu yeyote mwenye haki na ustahiki wa kuichezea ghururi ya Uturuki. Erdoğan ameyasema hayo mjini Ankara katika mkutano na waandishi wa habari aliofanya pamoja na Waziri Mkuu wa Bulgaria, Boyko Borisov.
-
Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria
Feb 25, 2020 08:00Rais wa Uturuki amedai kwamba nia ya nchi yake ni kurejesha utulivu na uthabiti katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Sisitizo la Erdogan la kutoyumkinika mauaji ya kigaidi ya shakhsia kama Kamanda Soleimani kuachwa bila ya jibu
Jan 07, 2020 04:27Wimbi kubwa la kauli, matamko na misimamo ya viongozi na shakhasia mbali mbali wa kimataifa pamoja na maandamano ya upinzani ya wananchi, vinaendelea kushuhudiwa katika nchi za eneo na zingine duniani kuhusiana na mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali shahidi Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Khalifa Haftar anajaribu kueneza wigo wa kimataifa wa mgogoro wa Libya
Jan 01, 2020 07:52Baada ya kupinduliwa utawala wa Muammar Gaddafi huko Libya mwaka 2011, nchi hiyo ilitumbukia katika vita vya ndani na hivi sasa kuna serikali mbili hasimu, moja ya mashariki na nyingine ya magharibi mwa nchi hiyo ambapo vikosi vya pande hizo mbili vinaendelea kupigana,
-
Rais Erdogan wa Uturuki afanya safari ya ghafla Tunisia kujadili usitishaji vita nchini Libya
Dec 26, 2019 07:52Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki jana alifanya safari ya ghafla nchini Tunisia kujadili namna ya kushirikiana na nchi hiyo ili kutafuta uwezekano wa kufanikisha usitishaji vita katika nchi jirani ya Libya, ambapo Ankara ni muungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo inayotambuliwa rasmi kimataifa.
-
Erdogan: Mashinikizo ya Saudia ndiyo yaliyomfanya Imran Khan asihudhurie mkutano wa Kuala Lumpur
Dec 21, 2019 07:39Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, mashinikizo ya watawala wa Saudi Arabia kwa serikali ya Pakistan ndiyo yaliyomfanya waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan asihudhurie mkutano wa "Kuala Lumpur 2019".
-
Erdogan: Inasikitisha taasisi za Kiislamu zimefeli kushughulikia matatizo ya Waislamu
Dec 19, 2019 13:15Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameelezea kusikitishwa kwake na udhaifu wa taasisi na jumuiya za Kiislamu ambazo zimeshidnwa kupatia ufumbuzi changamoto na matatizo yanayozikabili nchi za Kiislamu.
-
Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo
Oct 16, 2019 02:56Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.
-
Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia
Sep 02, 2019 04:05Kufuatia hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia, wakuu wa nchi hiyo sasa wameazimia kununa ndege za kisasa za kivita za Russia za Sukhoi-35 na Sukhoi-57.