Pars Today
Kwa mara nyingine tena Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki ameitaka Saudi Arabia imfichue mtu ambaye alitoa amri ya kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud.
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametangaza kuwekewa vikwazo bidhaa za kielektroniki zinazozalishwa nchini Marekani.
Serikali ya Uturuki imeitisha Marekani kwamba, iwapo Rais Donald Trump wa nchi hiyo hatoikabidhi Ankara ndege mpya za F 35, basi itaiburuza Washington katika mahakama za kimataifa.
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ndio utawala wa kifashisti na wa kibaguzi zaidi duniani.
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uturuki (YSK) amemtangaza rasmi Rais Recep Tayyip Erdoğan kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumapili ya jana nchini humo.
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA ni makosa, na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni chanzo cha kushadidi mgogoro na ukosefu wa amani katika eneo.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mauaji dhidi ya wananchi wa Palestina yaliyofanywa na utawala haramu wa Israel ni maafa makubwa.
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za hofu na kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati kwenye lindi la vita.
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuwaua magaidi wengi katika operesheni zake eneo la Afrin, kaskazini mwa Syria.