-
Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo
May 08, 2018 22:27Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.
-
Madai ya Rais Erdoğan wa Uturuki juu ya kufanikiwa jeshi lake katika operesheni ya Afrin, Syria
May 07, 2018 21:49Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuwaua magaidi wengi katika operesheni zake eneo la Afrin, kaskazini mwa Syria.
-
Rais Rouhani: Juhudi za Iran, Russia na Uturuki zimeleta mafanikio makubwa kwa Syria
Apr 04, 2018 21:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, juhudi za pande tatu za Iran, Uturuki na Russia zimepelekea Syria kupata mafanikkio makubwa katika vita dhidi ya magaidi na kwamba, kuna haja ya juhudi hizo kuendelezwa hadi pale wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu watakapoweza kuishi katika mazingira tulivu na ya amani kamili.
-
Erdoğan amwita Netanyahu 'gaidi' na aitaja Israel 'dola la kigaidi'
Apr 02, 2018 00:06Matamshi makali ya ukosoaji yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina yamepelekea kuibuka vita vya maneno kati yake na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu.
-
Rais Erdoğan: Tunajiandaa kuanzisha operesheni kubwa ya kijeshi kaskazini mwa Syria
Mar 30, 2018 23:29Licha ya serikali ya Syria kupinga uvamizi wa jeshi la Uturuki katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo, kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametangaza kwamba jeshi la nchi yake linajiandaa kuanzisha operesheni mpya katika eneo hilo.
-
Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria
Mar 11, 2018 03:47Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelitaka shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO lipeleke majeshi yake katika eneo la Afrin kaskazini mwa Syria.
-
Rouhani: Tehran na Ankara zina majukumu mazito ya kuwaokoa watu wa Syria
Mar 08, 2018 04:50Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran na Ankara zina majukumu mazito ya kuwaokoa raia wa Syria hususan katika eneo la Ghouta Mashariki na kusisitiza kuwa, Kuna udharura wa kufanyika jitihada za kuzuia maafa ya kibinadamu katika eneo hilo.
-
Rouhani na Erdogan walaani msimamo wa US, Israel dhidi ya Iran
Jan 03, 2018 23:05Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekosoa vikali uchochezi na uungaji mkono wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa waandamanaji wanaofanya fujo na ghasia nchini.
-
Rais wa Uturuki: Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 28, 2017 13:04Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuuwa, Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe
Dec 09, 2017 04:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.