-
Waasi wa Tigray warudi nyuma na kuondoka maeneo waliyokuwa wakiyadhibiti
Dec 20, 2021 23:05Mkuu wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) ametangaza kuwa, wapiganaji wa harakati hiyo wamerudi nyumana kuondoka katika maeneo yote nje ya eneo la Tigray huko kaskazini mwa Ethiopia ikiwa ni katika kujibu maombi ya kimataifa na kutoa fursa ya kurejesha amani katika eneo hilo.
-
Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa
Dec 18, 2021 00:04Ethiopia imekosoa kufanyika kwa kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kujadili na kutathmini visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo kufuatia mzozo unaoendelea kati ya serikali na waasi wa Tigray.
-
Watu 28 wauawa katika mashambulizi ya jeshi la Ethiopia
Dec 17, 2021 04:03Vyombo vya habari vimewanukuu wanamgambo wa kundi la Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray wakisema kuwa mashambulizi ya anga ya ndege za jeshi la Ethiopia yameua watu 28 na kujeruhi wengine 76 katika mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mgogoro wa Ethiopia kujadiliwa kwenye kikao cha dharura cha Baraza la Haki za Binadamu la UN
Dec 15, 2021 23:57Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa litakutana mjini Geneva kesho Ijumaa kwa kikao cha dharura kitakachojadili uhalifu wa kivita unaofanywa na pande zinazopigana nchini Ethiopia.
-
Abiy Ahmed arejea Addis Ababa kutoka kwenye medani ya vita, Ethiopia yajiandaa kushambulia ngome za mwisho za waasi wa Tigray
Dec 08, 2021 10:57Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, ametangaza leo Jumatano kwamba amerejea Addis Ababa kutoka kwenye medani ya vita, na kuahidi kuendeleza vita dhidi ya kundi la Tigray People's Liberation Front (TPLF).
-
Jeshi la serikali ya Ethiopia lakomboa miji 3 ya kimkakati katika mapigano na waasi wa Tigray
Dec 07, 2021 04:47Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed asema kwamba vikosi vya nchi yake vimedhibiti tena udhibiti miji 3 ya kimkakati katika eneo la kaskazini la Amhara iliyokuwa mikononi mwa kundi la Tigray People's Liberation Front.
-
UN na AU zatoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, onyo la kukaririwa hali ya Kabul latolewa
Dec 03, 2021 23:06Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, huku afisa wa Umoja wa Mataifa akionya dhidi ya kukaririwa hali iliyoshudiwa Kabul nchini Afghanistan baada ya Taliban kuidhibiti nchini hiyo, huko Addis Ababa.
-
Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia
Dec 01, 2021 00:13Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeshambulia uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi ya askari wa Ethiopia katika mji wa Baidoa, ulioko kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu
Nov 30, 2021 07:25Mgogoro wa Ethiopia umechukua wigo mpana zaidi kiasi kwamba, akthari ya weledi wa mambo wa mambo wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutekwa na kuangukia mikononi mwa waasi mji mkuu Addis Ababa na kuenea vita vya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia
Nov 28, 2021 00:05Jeshi la Sudan limesema, askari wake kadhaa wameuawa katika shambulio lililofanywa na vikosi vya jeshi la Ethiopia katika eneo la mpakani linalozozaniwa na nchi mbili.