-
Syria: Tutarejesha udhibiti wa milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel
Feb 21, 2019 04:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesema kuwa kukombolewa na kudhibitiwa upya milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni ni haki ya kisheria ya serikali na taifa la Syria.
-
Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo
Dec 22, 2017 00:54Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ameuonya utawala wa Kizayuni na kuuhakikishia kuwa Damascus itajibu mashambulizi yote yanayofanywa na Israel katika ardhi ya Syria.
-
Syria: Tunaifahamu Marekani kama adui yetu na muungaji mkono wa magaidi
Sep 11, 2017 03:48Faisal Mekdad, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayochafua usalama wa nchi hiyo yanaungwa mkono kikamilifu na kusaidiwa na Marekani na kwamba Washington ni adui mkubwa wa Syria.
-
Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani
Jul 29, 2017 03:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.
-
Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh
Feb 25, 2017 10:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitizia uepo wa ushirikiano baina ya nchi yake na serikali ya Iraq katika kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).