-
UN yaitaka serikali ya Gambia iwaachilie huru waandamanaji
May 13, 2016 23:21Ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeitaka serikali ya Gambia iwaachilie huru watu waliowekwa kizuizini kwa kushiriki kwenye maandamano ya amani yaliyofanyika Aprili 14 na 16 mwaka huu katika mji mkuu wa nchi hiyo Banjul.
-
Hofu ya UN kuhusu kifo cha mwanaharakati wa upinzani Gambia
Apr 19, 2016 10:58"Kifo cha kiongozi wa upinzani aliyekuwa kizuizini nchini Gambia lazima kichunguzwe na kuwapa tiba majeruhi waliokuwa wakiandamana kwa amani ambao bado wako kizuizini", amesema Kamisha Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa.