Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi

    Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi

    Apr 14, 2025 02:42

    Mashambulio makubwa na ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ghaza yamewaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 37.

  • Jamii ya kimataifa yaendelea kunyamazia kimya jinai za Israel

    Jamii ya kimataifa yaendelea kunyamazia kimya jinai za Israel

    Apr 13, 2025 08:56

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kali kuhusu vifo vya watoto wa Gaza kwa wingi kutokana na njaa kali na ukosefu wa chakula.

  • Kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza

    Apr 10, 2025 22:40

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa Gaza imekuwa machinjioni, na zaidi ya mwezi mmoja sasa hakuna msaada wowote uliopelekwa eneo hilo na kwamba wakazi wa Gaza hawana mafuta, dawa na bidhaa nyingine zinazohitajika.

  • Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea

    Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea

    Apr 10, 2025 22:33

    Kundi la askari wa akiba wa jeshi la anga la Israel limefukuzwa kazi baada ya kutia saini waraka wa kutaka kusitishwa vita dhidi ya Gaza na kurejeshwa kwa mateka wa utawala huo haramu.

  • Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza

    Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza

    Apr 08, 2025 03:11

    Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala haramu wa Israel, wakati ambapo Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu alipokutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington.

  • Waingereza 10 wakabiliwa na tuhuma za jinai za kivita Gaza

    Waingereza 10 wakabiliwa na tuhuma za jinai za kivita Gaza

    Apr 07, 2025 08:05

    Kundi mashuhuri la mawakili wa haki za binadamu wa Uingereza linatazamiwa kuwasilisha malalamiko ya jinai za kivita dhidi ya Waingereza kumi waliokuwa sehemu ya wanajeshi wa Israel waliofanya mashambulizi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Jumamosi, tarehe 5 Aprili 2025

    Jumamosi, tarehe 5 Aprili 2025

    Apr 04, 2025 23:09

    Leo ni Jumamosi tarehe 6 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 5 mwaka 2025.

  • Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15

    Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15

    Apr 03, 2025 08:07

    Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

  • Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza

    Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza

    Apr 03, 2025 03:34

    Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Uingereza: Ghaza ndio mahali hatari zaidi duniani kwa wahudumu wa misaada ya kibinadamu

    Uingereza: Ghaza ndio mahali hatari zaidi duniani kwa wahudumu wa misaada ya kibinadamu

    Apr 02, 2025 07:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa Ghaza na kukiri kuwa eneo hilo la ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni "mahali hatari zaidi duniani" kwa watoaji misaada ya kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS