-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 07:28Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
HAMAS: Hadi sasa hakuna makubaliano yoyote kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya Ghaza
Mar 02, 2025 02:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mazungumzo baina yake na utawala wa Kizayauni wa Israel yamesimama na hakuna maendeleo yoyote ya maana kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya kusimamisha vita huko Ghaza.
-
Misri yakataa pendekezo la Wazayuni la kuitawala Gaza kwa miaka 8
Feb 26, 2025 06:40Cairo imekataa pendekezo la maafisa wa utawala za Kizayuni wa Isarel wanaotaka serikali ya Misri isimamia mamlaka ya Ukanda wa Gaza kwa miaka 8 hadi 15.
-
Oxfam: Tunaanza kuelewa kina cha uharibifu uliofanyika Gaza
Feb 20, 2025 11:25Shirika la Oxfam la Uingereza limetangaza kuwa utawala wa Israel umeharibu zaidi ya asilimia 80 ya mitandao ya maji na maji taka ya Gaza na kusababisha hali mbaya ya kiafya.
-
Israel yapokea tena shehena ya makombora mazito kutoka US iliyokuwa imezuiliwa kupewa na Biden
Feb 17, 2025 03:07Utawala wa Kizayuni wa Israel umepokea shehena ya mabomu mazito ya MK-84 kutoka Marekani baada ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuondoa kizuizi cha uuzaji wa silaha hizo kilichokuwa kimewekwa na serikali ya mtangulizi wake Joe Biden. Hayo yamethibitishwa na Israel Katz, waziri wa vita wa utawala huo ghasibu.
-
Wapalestina 369 mkabala wa Waisraeli 3 wanaachiwa leo katika duru ya sita ya kubadilishana mateka
Feb 15, 2025 03:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetaja majina ya mateka watatu Wasraeli wenye uraia pacha ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo katika duru ya sita ya mabadilishano ya mateka chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza.
-
Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Feb 02, 2025 10:53Nchi kubwa za Kiarabu zimepinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.
-
Kimbunga cha al-Aqsa chamsomba Mkuu wa Majeshi ya Israel
Jan 22, 2025 03:26Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Israel, Herzi Halevi ametangaza kujiuzulu kufuatia kushindwa kwake kuzima Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa dhidi ya utawala huo haramu.
-
Utawala wa Israel umetekeleza uharibifu mkubwa na wa makusudi Gaza
Jan 22, 2025 02:46Katika kipindi hiki cha kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kuondoka kwa vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, maelfu ya Wapalestina wanapaswa kurejea katika. Hata hivyo hakuna nyumba za kurejea kwani Gaza imebaki na magofu tu.
-
Guterres: Misaada ya matibabu lazima iingie Gaza bila kizuizi chochote
Jan 21, 2025 07:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa na kuwatibu waliojeruhiwa, msaada wa matibabu lazima uingie Gaza bila vikwazo vyovyote.