Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi 'unyama na ufashisti' wa Israel

    HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi 'unyama na ufashisti' wa Israel

    Jan 21, 2025 02:34

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hali za kiafya za wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa kutoka kwenye magereza ya Israel zinaakisi "ukatili na ufashisti" wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama

    Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama

    Jan 17, 2025 14:09

    Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameutaja ushindi wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni muujiza wa Muqawama.

  • Zaidi ya Wapalestina 4,000 wamekuwa vilema katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Zaidi ya Wapalestina 4,000 wamekuwa vilema katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Jan 12, 2025 12:03

    Hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha zaidi ya Wapalestina 4,000 kuwa vilema.

  • Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza

    Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza

    Jan 12, 2025 11:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyombo vya Habari vya Michezo vya Palestina ametangaza kuwa, wanamichezo 708 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya Gaza.

  • Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Jan 12, 2025 02:39

    Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.

  • Rais Ouattara aonyesha kiu ya kuwania tena urais wa Ivory Coast kwa muhula wa nne mfululizo

    Rais Ouattara aonyesha kiu ya kuwania tena urais wa Ivory Coast kwa muhula wa nne mfululizo

    Jan 10, 2025 10:22

    Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara amesema, angependa kuendelea kusalia madarakani licha ya chama chake kutopitisha hadi sasa jina la mgombea wake kwa ajili ya uchaguzi wa urais utakaofanyika baadaye mwaka huu.

  • Kuendelea misaada ya silaha ya Marekani kwa Israel

    Kuendelea misaada ya silaha ya Marekani kwa Israel

    Jan 06, 2025 03:02

    Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza zinaendelea kwa kuungwa mkono wa nchi za Magharibi hususan Marekani.

  • Makumi ya wafanyakazi wa UNRWA wameuawa katika vita vya Gaza

    Makumi ya wafanyakazi wa UNRWA wameuawa katika vita vya Gaza

    Dec 31, 2024 12:43

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limetangaza kuwa, wafanyakazi 258 wa shirika hilo wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita hivyo mwaka jana (2023).

  • Mtoto mchanga wa tano afariki dunia Ghaza kutokana na baridi kali na kukosekana kwa vifaa

    Mtoto mchanga wa tano afariki dunia Ghaza kutokana na baridi kali na kukosekana kwa vifaa

    Dec 29, 2024 13:02

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA ametoa indhari kuhusu vifo vya watoto Wapalestina vinavyoongezeka kutokana na baridi kali na kukosekana kwa vifaa vya kutosha.

  • Ripota Maalumu wa UN afichua nafasi ya Ujerumani na Marekani katika mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza

    Ripota Maalumu wa UN afichua nafasi ya Ujerumani na Marekani katika mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza

    Dec 28, 2024 07:31

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu na Kupambana na Ugaidi amesema: Marekani na Ujerumani zinadhamini asilimia 99 ya silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel na inawezekana kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya nchi hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS