-
Ijumaa, tarehe 27 Disemba, 2024
Dec 28, 2024 04:48Lei ni Ijumaa tarehe 25 Jamadithani 1446 Hijria sawa na Disemba 27 mwaka 2024.
-
Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza
Dec 25, 2024 03:35Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa imekuwa vigumu kufikisha hata msaada mdogo kwa raia wa Palestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yaendeleza juhudi za kufikia mapatano ya kusitisha vita Ukanda wa Gaza
Dec 22, 2024 07:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palstina (Hamas) imeripoti kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yamekutana katika kikao cha pamoja huko Cairo, Misri na kwamba upo uwezekano wa kufikia mapatano ya kusitisha vita huko Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa Tahrir al-Sham: Hatutaruhusu Syria itumike kufanyia mashambulio dhidi ya Israel
Dec 17, 2024 06:05Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Hay'at Tahrir al-Sham (HTS), ambalo liliiondoa madarakani serikali ya Syria mapema mwezi huu huku kukiwa na taarifa zilizoenea za kuungwa mkono kundi hilo na mataifa ya Magharibi na Israel, amesema hataruhusu ardhi ya Syria itumike kufanyia mashambulizi dhidi ya Israel.
-
Chuki dhidi ya Uislamu Magharibi zimeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 15, 2024 05:34Washiriki wa mkutano wa London uliozungumzia "Uenezaji Hofu na Chuki Dhidi ya Uislamu" (Islamophobia) wametahadharisha kuhusu athari za vita vya Ghaza kwa ongezeko la jinai zinazofanywa katika nchi za Magharibi kwa sababu ya kuwachukia Waislamu.
-
RSF: Waandishi 54 wameuawa mwaka huu wakiwa kazini
Dec 13, 2024 03:38Shirika la kimataifa la Waandishi Habari wasiokuwa na Mipaka, RSF limetangaza kuwa, takribani waandishi habari 54 wameuawa ulimwenguni kote mwaka huu katika mazingira yanayohusisha kazi zao.
-
Maandamano dhidi ya Israel yafanyika katika nchi mbalimbali
Dec 02, 2024 07:07Maelfu ya wafuasi wa wananchi wa Palestina wamefanya maandamano katika miji mingi muhimu duniani ikiwemo Paris, Berlin, Santiago, Amsterdam, Copenhagen, Istanbul, Rome, Manchester na London kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 01, 2024 04:13Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa IIsrael katika Ukanda wa Gaza.
-
27 wafariki, 100 hawajulikani waliko baada ya mashua kupinduka kaskazini ya Nigeria
Nov 30, 2024 07:08Watu wasiopungua 27 wamefariki dunia na zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya mashua kupinduka kaskazini mwa Nigeria.
-
Daktari aangua kilio wakati anasimulia unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza
Nov 29, 2024 11:42Daktari Tanya Haj-Hassan, ameangua kilio katika mkutano wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akisimulia tajiriba aliyopitia katika Ukanda wa Ghaza unaoendelea kushuhudia vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.