Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Kuendelea jinai za Israel; kukumbwa na njaa watoto 130,000 wa Gaza

    Kuendelea jinai za Israel; kukumbwa na njaa watoto 130,000 wa Gaza

    Nov 29, 2024 02:31

    Shirika la kimataifa la kutoa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watoto la Save the Children limetangaza kuwa, watoto 130,000 walio chini ya umri wa miaka kumi wamezingirwa kwa siku 50 zilizopita kaskazini mwa Gaza bila chakula wala huduma matibabu.

  • Utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), mtihani kwa Wamagharibi

    Utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), mtihani kwa Wamagharibi

    Nov 24, 2024 13:54

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa utekelezaji na kushikamana nchi za Magharibi na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuwakamata viongozi wa utawala wa Kizayuni ni mtihani wa kupima azma na uwajibikaji wa Wamagharibi kuhusu hukumu hiyo.

  • Uhispania yasisitiza  kusimamishwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na Lebanon

    Uhispania yasisitiza kusimamishwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na Lebanon

    Nov 18, 2024 06:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amesisitiza ulazima wa kusitishwa haraka iwezekanavyo mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na jeshi la Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani atoa mwito wa uchunguzi wa mauaji ya kimbari Gaza

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani atoa mwito wa uchunguzi wa mauaji ya kimbari Gaza

    Nov 18, 2024 02:35

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu "mauaji ya halaiki" ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

  • Katika muda wa siku moja, jeshi la Kizayuni lafanya mashambulio 145 nchini Lebanon

    Katika muda wa siku moja, jeshi la Kizayuni lafanya mashambulio 145 nchini Lebanon

    Nov 17, 2024 12:41

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi 145 nchini Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita huku likishaidisha hujuma zake za kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu kinyume na wito wa kimataifa wa kuutaka utawala huo haramu usimamishe mashine yake ya mauaji katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Wapalestina 162 wameuawa shahidi na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza

    Wapalestina 162 wameuawa shahidi na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza

    Nov 09, 2024 07:11

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa watu 39 wameuawa shahidi na 123 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza katika muda wa saa 24 zilizopita.

  • Wanafunzi karibu elfu 12 wa Palestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Wanafunzi karibu elfu 12 wa Palestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Nov 06, 2024 02:30

    Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi karibu elfu 12 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Gaza tangu kuanza vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya eneo hilo Oktoba 7 mwaka jana hadi sasa.

  • Putin: Sababu kuu kabisa  ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina

    Putin: Sababu kuu kabisa ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina

    Oct 25, 2024 07:32

    Rais Vladimir Pitin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota hali ya mambo katika eneo la Asia Magharibi, na kusema kuwa, sababu kuu ya mgogoro wa eneo hilo ni kutokuwepo taifa huru la Palestina.

  • Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari

    Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari

    Oct 23, 2024 08:13

    Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa Habari”.

  • Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    Oct 20, 2024 07:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS