-
Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
Oct 16, 2024 13:30White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon
Oct 14, 2024 11:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa mara moja mauaji ya halaiki na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Mshindi wa Nobel: Hali ya watoto wa Ghaza ni kama ya wa Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia
Oct 14, 2024 05:38Kundi la Nihon Hidankyo, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2024 limesema, hali ya watoto katika Ukanda wa Ghaza ni sawa na hali ya watoto wa Japan ilivyokuwa mwishoni mwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
-
Ishiba: Sitasahau kamwe mshtuko niliopata kwa taswira ya bomu la nyuklia la US Hiroshima
Oct 13, 2024 09:06Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba amesema, anataka "ghaya na lengo kuu" liwe ni la kuwa na dunia isiyo na silaha za nyuklia huku akikumbusha kile alichokiita tajiriba ya kushtusha aliyopata alipoona video inayoonyesha Marekani ikishambulia mji wa Hiroshima nchini Japan kwa bomu la nyuklia na kusisitiza kwamba anataka kuhakikisha majanga ya aina hiyo hayawezi kutokea tena.
-
Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Oct 06, 2024 02:50Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu
Oct 01, 2024 02:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa hali ya kiafya na kimaisha katika Ukanda wa Gaza si ya kibinadamu.
-
Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu
Sep 25, 2024 03:37Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za kiholela na za kigaidi zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku zilizopita na uchokozi wake mkubwa dhidi ya Lebanon ambao umemwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia hautabaki bila majibu.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Berlin Ujerumani
Sep 09, 2024 02:54Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza.
-
Kifo cha Mmarekani Mturuki kimedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa Marekani
Sep 07, 2024 11:05Msimamo wa Marekani wa kutoa mijibizo tofauti kuhusiana na vifo vya raia wake waliouliwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na wale waliofariki katika matukio mengine umedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa serikali ya Washington.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 50,000 wa Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali
Sep 07, 2024 07:17Mfuko wa Kuhudumia Watoto Umoja wa Mataifa wa (UNICEF) umetangaza kuwa, zaidi ya watoto 50,000 huko Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali.