-
Wakazi wa Ukanda wa Ghaza waishukuru Iran kwa misaada katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Jun 09, 2016 09:45Wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamewashukuru wananchi na serikali ya Iran kwa misaada ya kibinadamu wanayowapatia katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi
May 14, 2016 09:55Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana walowezi wa Kizayuni wenye chuki za kidini na kitaifa, wamefanya mashambulizi katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel
May 08, 2016 08:37Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina
Mar 12, 2016 11:54Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamevunja makubaliano ya kusimamisha vita kati yao na Wapalestina kwa kuwashambulia kwa risasi wavuvi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mtoto Mpalestina auawa shahidi Gaza katika hujuma ya Israel
Mar 12, 2016 04:46Mtoto Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 10 ameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Israel yaiomba Ujerumaini iisaidie kuzungumza na HAMAS kuhusu kubadilishana mateka
Feb 17, 2016 11:41Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameiomba Ujerumani iinasihi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ikubali kubadilishana mateka wa Kipalestina kwa viwiliwili vya wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni vilivyoko mikononi mwa Hamas.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza
Feb 07, 2016 00:11Ripoti mbalimbali kuhusu Ghaza zinabainisha kuwa eneo hilo linakabiliwa na hali mbaya kutokana na kusuasua zoezi la kukarabati uharibifu uliosababishwa na jinai kubwa za utawala wa Kizayuni hususan katika vita vitatu vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.