-
Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo
Dec 15, 2020 08:04Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, suala la kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi ni jukumu la nchi zote za eneo hilo na hakuna nchi yoyote inayoweza kujivua na jukumu hilo.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati
Dec 10, 2020 23:26Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Jumamosi, 28 Novemba, 2020
Nov 27, 2020 23:56Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 28 Novemba 2020 Miladia.
-
Meja Jenerali Salami: Ghuba ya Uajemi ni ngome imara ya kujilinda Iran ya Kiislamu
Nov 19, 2020 07:45Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa Ghuba ya Uajemi ni ukanda wenye nguvu wa kuilinda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni makutano ya makabilianao baina ya madola.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 08:48Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kusaini mkataba wa kijeshi na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi
Oct 19, 2020 23:05Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kusaini mikataba ya masuala ya kijeshi na usalama na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Mazoezi ya kijeshi ya Dhulfiqar-99 na azma ya kuimarisha amani na usalama
Sep 11, 2020 00:13Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la maji ya mashariki mwa Lango Bahari la Hormuz, pwani ya Makran, Bahari ya Oman na kaskazini mwa Bahari ya Hindi.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 01:59Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Jumatano tarehe 19 Agosti 2020
Aug 18, 2020 21:55Leo ni Jumatano tarehe 29 Dhulhija 1441 Hijria sawa na 19 Agosti mwaka 2020.
-
Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi
Jun 08, 2020 07:39Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.