Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghuba ya Uajemi

  • Jumatano tarehe 19 Agosti 2020

    Jumatano tarehe 19 Agosti 2020

    Aug 18, 2020 21:55

    Leo ni Jumatano tarehe 29 Dhulhija 1441 Hijria sawa na 19 Agosti mwaka 2020.

  • Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi

    Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi

    Jun 08, 2020 07:39

    Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran ina nafasi muhimu katika kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Kiongozi Muadhamu: Iran ina nafasi muhimu katika kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Apr 30, 2020 03:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nafasi muhimu katika kuhakikisha kuwa usalama unakuwepo katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Apr 29, 2020 08:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu Wamarekani na kuwaambia wanapaswa kutambua kuwa Ghuba ya Uajemi ni njia muhimu ya baharini na eneo la kistratajia linalolindwa na litakaloendelea kulindwa kwa nguvu zote na taifa zima la Iran.

  • Siku ya Kitaifa ya 'Ghuba ya Uajemi', kumbukumbu ya utambulisho wenye kudumu milele

    Siku ya Kitaifa ya 'Ghuba ya Uajemi', kumbukumbu ya utambulisho wenye kudumu milele

    Apr 29, 2020 04:57

    Ghuba ya Uajemi ni kongwe kama historia ya Iran. Jina Fars yaani Uajemi, limepewa bahari kubwa na ni sisitizo la utambulisho wa kihistoria wa eneo hili.

  • Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Apr 23, 2020 22:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya wanajeshi wa baharini wa Iran katika Ghuba ya Uajemi, sambamba na kukosoa bwabwaja na vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya askari hao wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).

  • Njama za Trump za kuzusha mizozo na kutishia amani na usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Njama za Trump za kuzusha mizozo na kutishia amani na usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Apr 23, 2020 08:26

    Baada ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia mwezi Mei mwaka 20018, ilianza kutekeleza siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.

  • Brigedia Amir Hatami: Matokeo ya uwepo wa Marekani Ghuba ya Uajemi ni ukosefu wa usalama

    Brigedia Amir Hatami: Matokeo ya uwepo wa Marekani Ghuba ya Uajemi ni ukosefu wa usalama

    Apr 17, 2020 20:13

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo wa Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, hatua hiyo haina matokeo mengine ghairi ya ukosefu wa usalama.

  • Russia yatahadharisha juu ya athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    Russia yatahadharisha juu ya athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi

    Mar 07, 2020 11:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu athari mbaya za kuwepo majeshi ya nchi ajinabi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Raisi: Marekani ikituvamia tutavitimua vikosi vyake Ghuba ya Uajemi

    Raisi: Marekani ikituvamia tutavitimua vikosi vyake Ghuba ya Uajemi

    Feb 07, 2020 23:29

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran ameonya dhidi ya tishio lolote la adui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kubainisha kuwa, iwapo Washington itathubutu kuchukua hatua yoyote iliyo dhidi ya Iran basi taifa hili litawatimua hadi chini ya Ghuba ya Uajemi wanajeshi wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS