Pars Today
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukataa kutoa ushirikiano kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kinaonesha wazi upeo wa jeuri na kiburi cha utawala huo haramu kwa taasisi za kimataifa.
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametilia mkazo udharura wa kuachiwa huru makumi ya Wapalestina wanaoshikiliwa mahabusu nchini Saudi Arabia na kusema kuwa, kufungwa kwa Wapalestina hao huko Saudia kunawanufaisha Wazayuni wa Israel.
Osama Hamdan, mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo ina uhusiano mzuri na imara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, uvamizi wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni katika mji mkuu wa Syria Damascus ni ishara ya vitendo vya dhulma na uonevu vya Wazayuni.
Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umewatia nguvuni viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika maeneo ya Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na Baitul Muqaddas pamoja na mateka Wapalestina waliochiwa huru.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango wa kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza hukumu ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye maslahi kwa wananchi wa Palestina na iliyoughadhabisha mno utawala wa Kizayuni wa Israel.
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo dhidi ya hatua yoyote ya kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi ujao wa Palestina.
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa mtazamo wa baadhi ya viongozi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuwa na imani na matumaini na serikali mpya Marekani.