Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas: Israel inakiuka majukumu ya awamu ya 1 ya makubaliano ya kusitisha mapigano

    Hamas: Israel inakiuka majukumu ya awamu ya 1 ya makubaliano ya kusitisha mapigano

    Dec 11, 2025 08:44

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeilaani vikali Israel kwa kutotimiza wajibu wake katika makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza, wakati harakati hiyo ya Palestina imetekeleza majukumu yake yote kwa mujibu wa awamu ya kwanza ya makubaliano hayo.

  • HAMAS: Tuko tayari kukabidhi silaha kwa utawala wa Wapalestina ikiwa Israel itaondoka kikamilifu Ghaza

    HAMAS: Tuko tayari kukabidhi silaha kwa utawala wa Wapalestina ikiwa Israel itaondoka kikamilifu Ghaza

    Dec 07, 2025 23:04

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, iko tayari kukabidhi silaha zake katika Ukanda wa Ghaza kwa mamlaka ya utawala ya Wapalestina itakayosimamia uendeshaji wa eneo hilo, kwa sharti kwamba uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu wa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel ukomeshwe kikamilifu.

  • Qatar yakanusha kuisaidia kifedha HAMAS, yasema mawasiliano yao yalianza miaka 13 nyuma

    Qatar yakanusha kuisaidia kifedha HAMAS, yasema mawasiliano yao yalianza miaka 13 nyuma

    Dec 07, 2025 23:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mawasiliano baina ya Doha na harakati ya Hamas yalianza miaka 10 hadi 13 iliyopita kwa lengo la kurahisisha juhudi za kusitisha mapigano na kupeleka misaada ya kibinadamu Ghaza.

  • Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti

    Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti

    Dec 05, 2025 07:20

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kwamba mauaji ya mshirika wa Israel na kiongozi wa genge lenye uhusiano na Daesh, Yasser Abu Shabab, ni hatima isiyoepukika ya kila mtu anayechagua kulisaliti taifa na nchi yake na kushirikiana na utawala ghasibu wa Israel.

  • Baada ya Israel kuwaua Wapalestina wengine 24 Ghaza, HAMAS yataka wapatanishi, hasa US iingilie kati

    Baada ya Israel kuwaua Wapalestina wengine 24 Ghaza, HAMAS yataka wapatanishi, hasa US iingilie kati

    Nov 23, 2025 03:35

    Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi makali ya anga katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 24, wakiwemo watoto, katika mwendelezo wa ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa tangu wiki sita zilizopita kwenye eneo hilo la Palestina lililoteketezwa kwa vita.

  • Chuo Kikuu cha Harvard: Gen Z wa Marekani wanaifadhilisha Hamas kuliko Israel

    Chuo Kikuu cha Harvard: Gen Z wa Marekani wanaifadhilisha Hamas kuliko Israel

    Nov 18, 2025 04:19

    Matokeo ya utafiti mpya yanaonyesha kuwa asilimia 60 ya Kizazi kipya, Gen-Z nchini Marekani wanapendelea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina "Hamas" kuliko utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Gaza.

  • Kwa nini Hamas na makundi ya muqawama ya Palestina yanapinga azimio lililopendekezwa na Marekani?

    Kwa nini Hamas na makundi ya muqawama ya Palestina yanapinga azimio lililopendekezwa na Marekani?

    Nov 17, 2025 07:22

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake kwamba makundi na harakati za Palestina zimewasilisha waraka kuhusu rasimu ya azimio la Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa wamepinga vikali azimio hilo lililopendekezwa na Marekani kupitia waraka huo.

  • HAMAS: Silaha za Muqawama haziwezi kujadiliwa kabla ya kuundwa kwanza nchi ya Palestina

    HAMAS: Silaha za Muqawama haziwezi kujadiliwa kabla ya kuundwa kwanza nchi ya Palestina

    Nov 12, 2025 08:40

    Osama Hamdan, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, amesisitiza kwamba, silaha za Muqawama ni suala lisiloweza kujadiliwa kabla ya kuundwa nchi dola ya Palestina na akabainisha kuwa, lengo la kisiasa la Muqawama litabaki kuwa ni kuikomboa ardhi, kuundwa nchi huru ya Palestina ambayo mji mkuu wake ni Baitul-Muqaddas na kuwepo hakikisho la kurejea wakimbizi.

  • HAMAS: Lengo la safari ya rais wa Israel Afrika ni kubadilisha misimamo ya nchi zinazounga mkono Palestina

    HAMAS: Lengo la safari ya rais wa Israel Afrika ni kubadilisha misimamo ya nchi zinazounga mkono Palestina

    Nov 10, 2025 02:48

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa safari ya rais wa utawala ghasibu wa kizayuni katika nchi za Afrika ni jaribio la kutaka kubadilisha msimamo wa nchi hizo wa zinazopinga ukoloni na kuunga mkono haki za watu wa Palestina.

  • Hamas yapinga kutumwa jeshi la kigeni Gaza mbadala wa jeshi vamizi la Israel

    Hamas yapinga kutumwa jeshi la kigeni Gaza mbadala wa jeshi vamizi la Israel

    Nov 05, 2025 03:39

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza imesema kuwa haiwezakani kutumwa kikosi cha kijeshi cha kigeni katika eneo hilo ambacho kitahudumu kama mbadala wa jeshi vamizi la Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS