• Hamas yaonya kuhusu hujuma yoyote ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

    Hamas yaonya kuhusu hujuma yoyote ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

    Jun 06, 2021 21:59

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza ametoa tamko baada ya kubainika kuwa Wazayuni wanapanga kufanya shambulio jingine dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • HAMAS: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaelekea kuvunjika

    HAMAS: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza unaelekea kuvunjika

    Jun 01, 2021 03:26

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wananchi wa Palestina wamekaribia sana kuuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza uliowekwa na utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2007.

  • HAMAS: Tuna uwezo wa kuvurumisha mamia ya makombora kwa dakika

    HAMAS: Tuna uwezo wa kuvurumisha mamia ya makombora kwa dakika

    May 27, 2021 03:00

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza amesema harakati hiyo ya muqawama inayo uwezo wa kuvurumisha mamia ya makombora ndani ya dakika moja, yanayoweza kupiga umbali wa hadi kilomita 200, ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Badala ya kulaani jinai za Israel; Imarati ndio kwanza yatoa vitisho kwa Wapalestina

    Badala ya kulaani jinai za Israel; Imarati ndio kwanza yatoa vitisho kwa Wapalestina

    May 16, 2021 07:27

    Huku jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel zikizidi kuwa kubwa dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza, chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeonesha uungaji mkono wake kwa jinai hizo za Wazayuni kupitia kutoa vitisho vipya dhidi ya Wapalestina.

  • Kiongozi Muadhamu apongeza mwamko, kusimama kidete na azma ya taifa la Palestina

    Kiongozi Muadhamu apongeza mwamko, kusimama kidete na azma ya taifa la Palestina

    May 12, 2021 05:27

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alihutubia mkutano wa wawakilishi wa jumuiya na asasi za wanachuo nchini uliofanyika kwa njia ya intaneti na kuelezea masikitiko yake makubwa kutokana na matukio mawili machungu mno ya umwagaji damu yaliyotokea karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu, huko Afghanistan na Palestina na kulaani jinai zilizofanyika katika nchi hizo.

  • HAMAS: Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya vita vya haki dhidi ya batili

    HAMAS: Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya vita vya haki dhidi ya batili

    May 04, 2021 22:12

    Mahmoud al Zahar, mjumbe mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds (Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani ambayo mwaka huu itasadifiana na Ijumaa ya keshokutwa ya tarehe 7 Mei) ni nembo ya mapambano ya haki dhidi ya batili na kusisitiza kuwa, shabaha ya kutangazwa siku hiyo ni kufanikisha ukombozi wa Palestina.

  • HAMAS: Adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Quds inayokaliwa kwa mabavu

    HAMAS: Adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Quds inayokaliwa kwa mabavu

    May 02, 2021 22:17

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na kueleza kwamba, kwa hatua zake hizo, adui Mzayuni amelenga kuuhujumu utambulisho wa Kipalestina wa mji huo wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Hamas yataka makundi ya muqawama yaandae makombora ya kutwanga maeneo 'hassas' ya Israel

    Hamas yataka makundi ya muqawama yaandae makombora ya kutwanga maeneo 'hassas' ya Israel

    Apr 25, 2021 22:01

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa kufuatia matukio ya hivi karibuni ya mji wa Baytul Muqaddas na kuyataka makundi ya muqawama ya Ukanda wa Ghaza kuweka tayari makombora yao kwa ajili ya kupiga na kusambaratisha maeneo nyeti ya Israel.

  • HAMAS yatahadharisha kuhusu mpango wa kuakhirisha uchaguzi Palestina

    HAMAS yatahadharisha kuhusu mpango wa kuakhirisha uchaguzi Palestina

    Apr 22, 2021 21:53

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameonya kuwa, hatua yoyote ya kubadilisha kalenda na ratiba ya uchaguzi wa Palestina ambao umesubiriwa kwa muda mrefu itatoa pigo kwa jitihada za kuzipatanisha tawala hasimu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Khalid Mash'al: Kadhia ya mateka inaongoza katika vipaumbele vya Hamas na wananchi wa Palestina

    Khalid Mash'al: Kadhia ya mateka inaongoza katika vipaumbele vya Hamas na wananchi wa Palestina

    Apr 18, 2021 22:23

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya Palestina amesema kuwa suala la mateka wa Kipalestina lipo katika mioyo na fikra za wananchi wote na kusisitiza kadhia ya mateka inaongoza katika vipaumbele vya harakati hiyo na wananchi wa Palestina.