-
Hikma za Nahjul Balagha (3) + SAUTI
Nov 17, 2022 10:26Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika sehemu hii ya 3 ya mfululizo wa makala hizi za Hikma za Nahjul Balagha. Leo pia tutaangalia kwa muhtasari hikma nyingine za Imam Ali bin Abi Talib AS kama zilivyonukuliwa kwenye kitabu cha Nahjul Balagha tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.
-
Hikma za Nahjul Balagha (2) + SAUTI
Nov 15, 2022 09:38Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala fupi fupi za Hikma za Nahjul Balagha. Leo tutazungumzia madhara ya tamaa.
-
Hikma za Nahjul Balagha (1) + SAUTI
Nov 15, 2022 09:37Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika mfululizo huu mpya wa makala fupifupi. Jina la mfululizo huu ni Hikma za Nahjul Balagha. Ni matumaini yetu mtanufaika vya kutosha na makala hizi.