-
'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'
Mar 21, 2022 23:01Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine
Mar 19, 2022 08:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
-
Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani
Feb 26, 2022 04:18Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.
-
Taarifa mpya zafichuliwa kuhusu mtandao wa kijasusi wa Israel dhidi ya Hizbullah
Feb 23, 2022 23:34Gazeti la al Akhbar la Lebanon limefichua taarifa mpya kuhusu operesheni za moja ya mitandao ya ujasusi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini Lebanon dhidi ya harakati ya muqawama ya nchi hiyo ya Hizbullah.
-
Operesheni ya droni ya Hizbullah; kusambaratika mfumo wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni
Feb 21, 2022 23:10Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa iliyopita ilitoa taarifa na kutangaza kuwa ndege isiyo na rubani (droni) iliyopewa jina la Hassan imepaa katika anga ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa muda wa dakika 40 na katika umbali wa kilomita 70 na kisha ikarejea Lebanon baada ya kufanya kazi yake kwa mafanikio.
-
Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon
Jan 15, 2022 23:14Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
George Kordahi: Hizbullah ndio tatizo hasa kwa Saudia katika uhusiano wake na Lebanon
Nov 19, 2021 08:17Waziri wa Habari wa Lebanon amesema, tatizo hasa la Saudi Arabia na nchi yake halitokani na matamshi aliyotoa yeye hivi karibuni, bali linahusiana na harakati ya muqawama ya nchi hiyo, Hizbullah.
-
Hizbullah: Saudia inataka kuudhoofisha muqawama Lebanon
Nov 15, 2021 08:13Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema lengo kuu la Saudi Arabia kuibua mzozo wa kidiplomasia baina ya Lebanon na nchi za Ghuba ya Uajemi ni kudhoofisha mrengo wa muqawama na kulipigisha magoti taifa hilo la Kiarabu.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iache kuingilia mambo ya ndani ya Lebanon
Nov 11, 2021 04:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameitaka Saudi Arabia ikome kabisa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo, huku mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi mbili hizo za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iiombe radhi Lebanon
Nov 05, 2021 23:55Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia inapaswa kuliomba radhi taifa la Lebanon kutokana na mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.