Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah

  • Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi

    Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi

    Nov 02, 2021 08:53

    Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema katika mahojiano na Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya kwamba, matatizo na mvutano wa nchi yake na Lebanon ni zaidi ya matamshi ya waziri wa habari wa nchi hiyo, kwani Saudia haikubaliani kabisa na suala la kupata nguvu waitifaki wa Iran nchini Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.

  • Hizbullah yaikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa mlipuko wa Bandari ya Beirut

    Hizbullah yaikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa mlipuko wa Bandari ya Beirut

    Oct 13, 2021 09:25

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutia pua katika uchunguzi juu ya mlipuko uliotokea mwaka jana katika Bandari ya Beirut.

  • Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon

    Mufti wa Lebanon: Hizbullah imetuletea fakhari; Marekani ni gonjwa la saratani la Lebanon

    Sep 02, 2021 02:59

    Mufti wa Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ni fahari kwa Lebanon na kwamba, kama kuna saratani nchini humo na ulimwenguni, basi saratani hiyo ni Marekani na wafuasi wake.

  • Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel

    Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel

    Aug 08, 2021 03:24

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.

  • Sheikh Naim Qassim: Tuhuma dhidi ya Hizbullah zina matashi ya kisiasa na lengo na kuipaka matote harakati hiyo

    Sheikh Naim Qassim: Tuhuma dhidi ya Hizbullah zina matashi ya kisiasa na lengo na kuipaka matote harakati hiyo

    Aug 05, 2021 21:52

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tuhuma za baadhi ya pande dhidi ya harakati hiyo ni za kisiasa na lengo lake ni kuipaka matope harakati hiyo.

  • Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq

    Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq

    Jul 09, 2021 03:35

    Afisa wa Batalioni ya Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa mapambano dhidi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo yataendelea hadi wanajeshi wote wa nchi hiyo watakapoondoka katika ardhi ya Iraq.

  • Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq

    Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq

    Jul 07, 2021 23:50

    Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa mashirika ya ujasusi ya Saudi Arabia yanahusika na mashambulio ya kigaidi yanayolenga na kuharibu mtandao wa kusambaza umeme nchini humo.

  • Haniya na Nasrullah wajadili njia za kupata 'ushindi wa mwisho' dhidi ya Israel

    Haniya na Nasrullah wajadili njia za kupata 'ushindi wa mwisho' dhidi ya Israel

    Jun 29, 2021 21:53

    Viongozi wakuu wa mrengo wa muqawama wa Palestina na Lebanon wamejadili kipigo cha hivi karibuni cha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, sanjari na kubadilishana mawazo juu ya njia zinazopaswa kufuatwa ili kupata 'ushindi mutlaki' dhidi ya utawala huo haramu.

  • Nasrullah: Kuteka tovuti za muqawama kumefichua unafiki wa Marekani

    Nasrullah: Kuteka tovuti za muqawama kumefichua unafiki wa Marekani

    Jun 26, 2021 08:05

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha Marekani cha kuteka na kufunga tovuti kadhaa za vyombo vya habari vya kambi ya muqawama kimedhihirisha unafiki wa Marekani inayodai kuwa mtetezi mkubwa wa demokrasia na uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari.

  • Upatanishi wa Hizbullah kwa ajili ya kupunguza mivutano ya kisiasa nchini Lebanon

    Upatanishi wa Hizbullah kwa ajili ya kupunguza mivutano ya kisiasa nchini Lebanon

    Jun 25, 2021 22:00

    Vyanzo vya habari vimetangaza habari ya juhudi zinazofanywa na Chama cha Hizbullah ya Lebanon kwa madhumuni ya kuwapatanisha Rais na Spika wa Bunge la Lebanon na vile vile makundi ya kisiasa ya nchi hiyo kwa ajili ya kupunguza mivutano na kufikia muwafaka kuhusu namna ya kubuni serikali mpya ya nchi hyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS