-
Sheikh Naeem Qassim: Hizbullah haijaghafilika katu na Israel
Feb 12, 2016 23:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawa wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amesema muqawama katu haujaghafilika na njama na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Aoun: Lebanon inahitaji Hizbullah kulinda mipaka yake
Feb 07, 2016 22:18Kiongozi wa chama cha Harakati Huru ya Kizalendo nchini Lebanon (FPM) amepongeza juhudi za Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah za kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Syria na kusisitiza kuwa, Lebanon inaiihitaji Hizbullah kulinda mipaka yake.
-
Hizbullah: Madai kuwa Iran inaingilia masuala ya ndani ya Lebanon hayana msingi
Jan 30, 2016 04:23Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaingilia masuala ya ndani ya Lebanon, akisisitiza kuwa hakuna ushahidi wowote juu ya tuhuma hizo.