Nov 06, 2018 11:41
Wanavuoni, vijana na Waislamu wa matabaka mbalimbali wa Iran wameungana na ndugu zao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS, mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.