-
Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel
Dec 21, 2020 08:16Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unaunga mkono sera za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa madhara na ukiukaji wa haki za Wapalestina.
-
Bin Salman na Bin Zayed wafanya kikao cha faragha kuijadili Qatar
Dec 20, 2020 13:58Baadhi ya duru za kuaminika zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na mwenzake wa Imarati (UAE) wamefanya kikao cha faragha cha kuzungumzia kadhia ya Qatar.
-
Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu
Dec 19, 2020 03:00Katika kipindi cha mwezi mmoja wa hivi karibuni kumekuwa kukiripotiwa habari kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mgogoro baina ya Qatar na mataifa manne ya Kiarabu ya Saudi Arabia, Imarati, Misri na Bahrain.
-
Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina
Dec 12, 2020 07:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati
Dec 11, 2020 02:56Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Imarati yasaini mkataba wa kununua bidhaa zinazotengenezwa katika vitongoji vya Wazayuni
Dec 09, 2020 07:46Umoja w Falme za Kiarabu (Imarati) umesaini mkataba mpya wa kununua bidhaa zinazotengenezwa katika vitongoji vya walowezi Kizayuni vilivyojengwa kwenye ardhi walizoporwa Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Amnesty yaiomba Marekani iache kuiuzia silaha UAE kwa sababu itazitumia kuulia raia
Dec 09, 2020 02:37Shirika la kutetea haki za binadamu la Msamaha Duniani, Amnesty International limeiomba Marekani isitishe uuzaji silaha kwa Imarati kwa sababu itazitumia silaha hizo kuulia raia wasio na hatia.
-
Kupamba moto hitilafu za kiintelijensia baina ya Saudia na Imarati katika vita vya Yemen
Dec 01, 2020 10:03Baada ya kuibuka hitilafu za kisiasa na kijeshi baina ya Saudi Arabia na Imarati katika vita huko nchini Yemen, sasa kumezuka mzozo baina ya vituo vya kiintelijensia vya pande mbili hizo.
-
Wabunge Iraq waitaka serikali ijibu mapigo kwa kutowapatia viza raia wa Imarati
Nov 27, 2020 12:03Baada serikali ya Imarati kusitisha utoaji viza kwa raia wa Iraq wanaotaka kuingia nchini humo, sambamba na kuwaweka kizuizini katika mazingira ya kutatanisha Wairaqi kadhaa wanaoishi nchini humo, wabunge wa Iraq wameitaka serikali yao isitishe kutoa viza kwa raia wa Imarati pia wanaotaka kuingia nchini humo.
-
Afisa wa UAE akiri nchi hiyo imekuwa na uhusiano wa siri na Israel tangu miaka kadhaa nyuma
Nov 22, 2020 04:13Mkuu wa usalama wa mitandao wa serikali ya Imarati amekiri kuwa, kwa miaka kadhaa, nchi hiyo imekuwa na ushirikiano na mashirika ya usalama wa mitandao ya intaneti ya utawala wa Kizayuni wa Israel.