-
Israel yatiwa hofu na onyo la Yemen la kushambulia Expo Dubai sambamba na safari ya Herzog UAE
Jan 27, 2022 02:36Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na wasiwasi mkubwa kutokana na onyo lililotolewa na vikosi vya ulinzi vya Yemen la kushambulia maonyesho ya Expo Dubai, sambamba na kukaribia safari ya rais wa utawala huo nchini Imarati.
-
Rais wa utawala haramu wa Israel kuitembelea Imarati
Jan 26, 2022 12:15Rais wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
Askari wa Marekani walijificha Abu Dhabi baada ya shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Imarati
Jan 23, 2022 07:57Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la kigaidi la Marekani CENTCOM amekiri kuwa, askari wa jeshi hilo walikimbilia mafichoni kwa kuhofia uwezekano wa jeshi la Yemen kuishambulia tena Imarati, kufuatia shambulio la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi hilo katika mji wa Abu Dhabi.
-
Brigedia Yahya Saree: Makampuni ya kigeni yanashauriwa kuondoka Imarati
Jan 22, 2022 08:04Msemaji wa Jeshi la Yemen ameyashauri makampuni ya kigeni ya uwekezaji kuondoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Imarati; kujitanua kwenye madhara makubwa
Jan 21, 2022 09:57Umoja wa Falme za Kiarabu au kwa jina jingeni Imarati inatekeleza siasa za kujitanua katika eneo la Asia Magharibi, siasa ambazo huenda zikawa na madhara makubwa kwa nchi hiyo.
-
Mashambulio ya Wayamen dhidi ya Imarati; malengo na umuhimu wake
Jan 18, 2022 11:09Jumatatu ya jana tarehe 17 Januari, ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen zilishambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Watu 9 wauawa na kujeruhiwa nchini Imarati baada ya mashambulizi ya Wayemen
Jan 17, 2022 17:05Ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen yameshambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Kenya yajibu mapigo, yasimamisha safari za ndege kutoka Imarati
Jan 11, 2022 07:52Kenya imesimamisha safari zote za ndege za abiria kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu, kujibu hatua ya Imarati ya kuzuia kwa muda usiojulikana ndege zote za kutoka nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutua nchini humo, kwa madai ya vyeti bandia vya Corona.
-
Vikosi vya Yemen vyakamata meli ya Imarati (UAE) iliyokuwa na shehena ya zana za kijeshi
Jan 04, 2022 02:46Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema, operesheni ya kukamata meli ya kijeshi ya Imarati ilikuwa ya namna ya kipekee na akasisitiza kuwa machaguo yote yako mezani kwa ajili ya kujibu mapigo kwa wavamizi.
-
Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35
Dec 15, 2021 07:47Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua kusimamisha mazungumzo yake na Marekani kuhusu makubaliano ya kununua ndege za kivita aina ya F-35 zenye thamani ya dola bilioni 23.