-
Maiti za wagonjwa wa corona zatoswa kwenye Mto Ganga nchini India
May 11, 2021 13:10Baadhi ya vyombo vya habari vya India vimeripoti kuwa viwiliwili vya watu waliofariki kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini humo vimeonekana vikielea kwenye Mto mkubwa wa Ganga wa nchi hiyo.
-
Misikiti India yageuzwa kuwa vituo vya wagonjwa wa Covid-19
May 11, 2021 02:50Aghalabu ya misikiti nchini India imegeuzwa na kuwa vituo vya kuwapokea wagonjwa wa Covid-19, huku mfumo wa afya wa nchi hiyo ukiendelea kulemewa kupita kiasi, vitanda kufurika mahospitalini, sambamba na kushuhudia uhaba mkubwa wa dawa na hewa ya oksijeni katika wimbi la pili la Corona nchini humo.
-
Moto waua 18 katika hospitali ya wagonjwa wa Corona India
May 01, 2021 12:49Kwa akali watu 18 wamepoteza maisha katika ajali ya moto iliyotokea katika hospitali moja ya wagonjwa wa Corona nchini India, huku nchi hiyo ya Asia leo Jumamosi ikiweka rekodi mpya ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Hali yazidi kuwa tete India, vifo vya Corona vyapindukia laki 2
Apr 29, 2021 02:23India inaendelea kusumbuliwa na wimbi kubwa la maambukizi ya virusi vya Corona, huku idadi ya watu walioaga dunia kwa maradhi ya Covid-19 nchini humo ikipindukia laki mbili.
-
WHO: Hali ya corona nchini India inasikitisha
Apr 27, 2021 05:46Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) amezungumzia mgogoro wa maambukizi ya virusi vya corona nchini India na kusema kuwa, hali ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 nchini humo inaumiza sana.
-
Kwa muda wa siku tatu, watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa corona nchini India
Apr 26, 2021 07:38Watu zaidi ya milioni moja wameambukizwa virusi vya corona katika kipindi cha siku tatu nchini India.
-
Iran yatangaza iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la COVID-19
Apr 26, 2021 02:30Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la ugonjwa wa corona au COVID-19.
-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 13:30Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Kwa mara ya kwanza India yavunja rekodi kwa kusajili kesi 200,000 za maambukizi ya corona kwa siku
Apr 15, 2021 12:58India imetangaza kuwa, watu 200,739 wameambukizwa virusi vya corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita, huku hospitali nyingi za nchi hiyo zinazotibu wagonjwa wa maradhi hayo zikikabiliwa na uhaba mkubwa wa vitanda na mitungi ya oksijini.
-
Mahakama Kuu ya India yatengua sheria ya marufuku ya kubadili dini
Apr 14, 2021 02:35Mahakama ya Juu ya India imetengua sheria inayowapiga marufuku raia wa nchi hiyo kubadili dini kutoka kwenye imanii ya Kihindu na kuingia kwenye Uislamu au ukristo. Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo imesema kuwa, sheria hiyo inapingana na katiba ya nchi.