-
India yaendelea kuongoza kwa maambukizi mengi ya corona kwa siku duniani
Apr 09, 2021 02:40India imeendelea kwa muda wa siku kadhaa mtawalia kuwa nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa virusi vya corona kwa siku duniani.
-
Kwa mara ya kwanza maambukizi ya corona nchini India yapindukia watu laki moja kwa siku
Apr 05, 2021 06:50India imeripoti ongezeko kubwa la maambukizo ya virusi vya corona na kuwa nchi ya pili duniani baada ya Marekani kusajili kesi mpya zaidi ya laki moja za watu walioambukizwa virusi hivyo katika muda wa siku moja, huku hospitali katika jimbo lililoathiriwa vibaya zaidi la Maharashtra zikizidiwa na idadi ya wagonjwa.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 12, 2021 02:42Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.
-
Iran yazipongeza Pakistan na India kwa kulinda usimamishaji vita
Mar 01, 2021 06:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran inazipongeza Pakistan na India kwa tamko lao la pamoja la kuyalinda makubaliano ya kusimamisha vita na kusema kuwa hiyo ni hatua nzuri ya kuelekea kwenye amani na utulivu wa kudunu katika eneo la kusini mwa Asia.
-
Mapatano ya India na Pakistan juu ya kusitisha vita katika eneo la Kashmir
Feb 28, 2021 03:18Kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miongo miwili, India na Pakistan zimeafikiana kusitisha vita katika eneo linalogombaniwa la Kashmir.
-
Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi
Feb 17, 2021 02:26Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la mazoezi mseto ya usalama wa baharini katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi ni kufikia usalama jumla kieneo. Aidha ameongeza kuwa, Jeshi la Majini la India sasa litajiunga na majeshi ya majini ya Iran na Russia katika mazoezi hayo.
-
Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh
Jan 13, 2021 03:00Waziri Mkuu wa Pakistan amedai kuwa, India imekuwa ikivuruga amani na usalama wa Pakistan kutokana na hatua zake za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh.
-
Vichanga 10 vyafariki dunia baada ya kutokea moto katika hospitali nchini India
Jan 09, 2021 13:00Vitoto vichanga visivyopungua 10 vimeaga dunia kwa kukosa kupumua baada ya kutokea moto katika hospitali moja ya jimbo la Maharashtra nchini India.
-
Wanajeshi wa India na Pakistan wafyatuliana tena risasi kwenye mpaka wa eneo la Kashmir
Sep 27, 2020 13:58Askari mmoja wa Pakistan ameuawa katika mapigano mapya ya mpakani yaliyozuka katika eneo la Kashmir kati ya wanajeshi wa nchi hiyo na India.
-
Khan aiambia UN: Serikali ya India inaunga mkono chuki dhidi ya Uislamu
Sep 26, 2020 12:36Waziri Mkuu wa Pakistan amesema serikali ya Kihindu ya India inaunga mkono na kuchochea chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.