Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba

    Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba

    Mar 11, 2021 23:12

    Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.

  • Iran yazipongeza Pakistan na India kwa kulinda usimamishaji vita

    Iran yazipongeza Pakistan na India kwa kulinda usimamishaji vita

    Mar 01, 2021 03:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran inazipongeza Pakistan na India kwa tamko lao la pamoja la kuyalinda makubaliano ya kusimamisha vita na kusema kuwa hiyo ni hatua nzuri ya kuelekea kwenye amani na utulivu wa kudunu katika eneo la kusini mwa Asia.

  • Mapatano ya India na Pakistan juu ya kusitisha vita katika eneo la Kashmir

    Mapatano ya India na Pakistan juu ya kusitisha vita katika eneo la Kashmir

    Feb 27, 2021 23:48

    Kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miongo miwili, India na Pakistan zimeafikiana kusitisha vita katika eneo linalogombaniwa la Kashmir.

  • Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi

    Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi

    Feb 16, 2021 22:56

    Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la mazoezi mseto ya usalama wa baharini katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi ni kufikia usalama jumla kieneo. Aidha ameongeza kuwa, Jeshi la Majini la India sasa litajiunga na majeshi ya majini ya Iran na Russia katika mazoezi hayo.

  • Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh

    Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh

    Jan 12, 2021 23:30

    Waziri Mkuu wa Pakistan amedai kuwa, India imekuwa ikivuruga amani na usalama wa Pakistan kutokana na hatua zake za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh.

  • Vichanga 10 vyafariki dunia baada ya kutokea moto katika hospitali nchini India

    Vichanga 10 vyafariki dunia baada ya kutokea moto katika hospitali nchini India

    Jan 09, 2021 09:30

    Vitoto vichanga visivyopungua 10 vimeaga dunia kwa kukosa kupumua baada ya kutokea moto katika hospitali moja ya jimbo la Maharashtra nchini India.

  • Wanajeshi wa India na Pakistan wafyatuliana tena risasi kwenye mpaka wa eneo la Kashmir

    Wanajeshi wa India na Pakistan wafyatuliana tena risasi kwenye mpaka wa eneo la Kashmir

    Sep 27, 2020 10:28

    Askari mmoja wa Pakistan ameuawa katika mapigano mapya ya mpakani yaliyozuka katika eneo la Kashmir kati ya wanajeshi wa nchi hiyo na India.

  • Khan aiambia UN: Serikali ya India inaunga mkono chuki dhidi ya Uislamu

    Khan aiambia UN: Serikali ya India inaunga mkono chuki dhidi ya Uislamu

    Sep 26, 2020 09:06

    Waziri Mkuu wa Pakistan amesema serikali ya Kihindu ya India inaunga mkono na kuchochea chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.

  • Amnesty International: Polisi ya India ilishirikiana na magenge ya Wahindu kuwashambulia Waislamu

    Amnesty International: Polisi ya India ilishirikiana na magenge ya Wahindu kuwashambulia Waislamu

    Aug 30, 2020 22:03

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la polisi la India lilifanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kushirikiana na magenge ya Wahindu wenye misimamo ya kufurutu mipaka kuwashambulia Waislamu katika mji mkuu New Delhi mapema mwaka huu.

  • Katibu Mkuu wa UN aikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo

    Katibu Mkuu wa UN aikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo

    Aug 22, 2020 22:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS