Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Baraza la Maulamaa India lataka aliyemvunjia heshima Bwana Mtume SAW achukuliwe hatua

    Baraza la Maulamaa India lataka aliyemvunjia heshima Bwana Mtume SAW achukuliwe hatua

    Aug 21, 2020 03:19

    Baraza la Maulamaa wa Kiislamu wa India limeitaka serikali iwachukulie hatua kali na ya haraka waliomvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW.

  • Modi azionya China na Pakistan, asema Pakistan ni adui wa kudumu wa India

    Modi azionya China na Pakistan, asema Pakistan ni adui wa kudumu wa India

    Aug 15, 2020 21:47

    Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amezitahadharisha China na Pakistan na kile alichokiita matokeo mabaya ya hatua zao za kuanzisha chokochoko dhidi ya nchi yake.

  • Modi aweka jiwe la msingi la ujenzi wa hekalu mahali ulipobomolewa msikiti wa kihistoria wa India

    Modi aweka jiwe la msingi la ujenzi wa hekalu mahali ulipobomolewa msikiti wa kihistoria wa India

    Aug 05, 2020 23:59

    Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa ujenzi wa hekalu la Wahindu katika mahali ulipokuwepo msikiti wa kihistoria wa Babri ambao ulibomolewa yapata miaka 30 iliyopita na kusababisha machafuko ya umwagaji damu nchini humo.

  • India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5

    India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5

    Aug 04, 2020 08:16

    Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuzidisha hatua kali za usalama kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.

  • Mafuriko yaua 189 India na Nepal, milioni 4 waachwa bila makazi

    Mafuriko yaua 189 India na Nepal, milioni 4 waachwa bila makazi

    Jul 19, 2020 06:22

    Watu wasiopungua 189 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini India na katika nchi jirani ya Nepal.

  • Indhari ya Imran Khan kuhusu mauaji ya Wakashmiri

    Indhari ya Imran Khan kuhusu mauaji ya Wakashmiri

    Jul 13, 2020 05:45

    Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuhusu mauaji ya Wakashmiri yanayofanywa na wanajeshi wa India.

  • China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani

    China yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na wanajeshi wa China mpakani

    Jun 17, 2020 01:56

    Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.

  • Kukataa India upatanishi wa Marekani katika mzozo wa mpaka kati yake na China

    Kukataa India upatanishi wa Marekani katika mzozo wa mpaka kati yake na China

    May 31, 2020 04:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya India imetupilia mbali ombi la rais wa Marekani Donald Trump la kuwa mpatanishi kati ya New Delhi na Beijing kwa ajili ya kutatua tofauti zao za mpakani.

  • India: Madai ya kufanyika mazungumzo ya simu kati ya Narendra Modi na Trump hayana msingi

    India: Madai ya kufanyika mazungumzo ya simu kati ya Narendra Modi na Trump hayana msingi

    May 31, 2020 00:11

    Serikali ya India imeyataja kuwa ya uongo madai ya Rais Donld Trump wa Marekani kwamba amefanya mazungumzo ya simu na Narendra Modi, Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuhusiana na masuala ya mzozo wa mpaka kati yake na China.

  • Kimbunga kikali chaua makumi ya watu India na Bangladesh

    Kimbunga kikali chaua makumi ya watu India na Bangladesh

    May 21, 2020 03:16

    Kwa akali watu 20 wameaga dunia na mamia ya maelfu ya wengine wameachwa bila ya makazi baada ya kimbunga kikali cha Amphan kupiga maeneo ya pwani ya India na Bangladesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS