Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Imran Khan aonya juu ya njama za India dhidi ya Pakistan

    Imran Khan aonya juu ya njama za India dhidi ya Pakistan

    May 19, 2020 20:19

    Waziri Mkuu wa Pakistan ameonya juu ya njama chafu za India dhidi ya nchi yake.

  • Jumatatu, 18 Mei, 2020

    Jumatatu, 18 Mei, 2020

    May 17, 2020 20:13

    Leo ni Jumatatu tarehe 24 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1441 Hijria mwafaka na tarehe 18 Mei 2020 Miladia.

  • Wasiwasi wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu harakati za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir

    Wasiwasi wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu harakati za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir

    May 09, 2020 03:28

    Waziri Mkuu wa Pakistan ameonyeshaa wasiwasi mkubwa alionao kuhusiana na harakati mpya za kijeshi za India katika mstari wa udhibiti wa Kashmir (Line of Control) na kuongezeka mashambulio ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya mstari huo.

  • Wakashmir wafanya maandamano kulaani kuuliwa na askari wa India mmoja wa makamanda wa eneo hilo

    Wakashmir wafanya maandamano kulaani kuuliwa na askari wa India mmoja wa makamanda wa eneo hilo

    May 07, 2020 21:51

    Kufuatia kuuliwa mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa eneo la Kashmir katika shambulizi lililofanywa na askari wa India, maelfu ya wakazi wa eneo hilo wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai hiyo.

  • Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India

    Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India

    Apr 20, 2020 08:23

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.

  • OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India

    OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India

    Apr 19, 2020 22:42

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.

  • HRW yaitaka serikali ya India kufuta sheria mpya ya uraia inayowabagua Waislamu

    HRW yaitaka serikali ya India kufuta sheria mpya ya uraia inayowabagua Waislamu

    Apr 11, 2020 23:53

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya India ifutilie mbali sheria mpya ya uraia inayowabagua Waislamu kwa misingi ya dini yao.

  • Serikali ya India yatumia vibaya virusi vya Corona kuwakandamiza Waislamu

    Serikali ya India yatumia vibaya virusi vya Corona kuwakandamiza Waislamu

    Apr 02, 2020 22:30

    Maulana Badruddin, mbunge katika bunge la India amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo inatumia vibaya virusi vya Corona kama wenzo wa kuwakandamiza Waislamu.

  • Vyama vya Waislamu nchini India vyalalamikia kutiwa mbaroni vijana wa Kiislamu

    Vyama vya Waislamu nchini India vyalalamikia kutiwa mbaroni vijana wa Kiislamu

    Mar 16, 2020 08:45

    Chama cha Jumuiya ya Maulama nchini India kimetangaza kuwa, uchunguzi unaonyesha kuwa katika siku za hivi karibuni vijana wa Kiislamu wametiwa mbaroni kwa namna iliyoratibiwa na kupelekwa maeneo yasiyojulikana.

  • Iran yaitaka India kufuta sheria inayowabagua Waislamu

    Iran yaitaka India kufuta sheria inayowabagua Waislamu

    Mar 15, 2020 03:22

    Mjumbe mmoja wa Baraza la Kulinda Katiba la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Mkuu wa Mahakama Kuu ya India na kumtaka atumie ushawishi wake kufuta sheria mpya ya uraia inayowakandamiza Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS