Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Wabunge wa India wasusia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutetea sheria ya uraia

    Wabunge wa India wasusia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutetea sheria ya uraia

    Mar 14, 2020 22:59

    Hotuba ya Amit Shah, Waziri wa Mambo ya Ndani wa India katika bunge la nchi hiyo iliyokuwa na lengo la kutetea sheria mpya ya uraia, imekabiliwa na upinzani mkubwa.

  • Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu yataka kusitishwa mauaji ya Waislamu India

    Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu yataka kusitishwa mauaji ya Waislamu India

    Mar 12, 2020 23:19

    Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imelaani mauaji yanayofanywa ma Wahindu wenye misimamo mikali dhidi ya Waislamu nchini India na kuitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mauaji na jinai hiyo.

  • Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India

    Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India

    Mar 10, 2020 04:49

    Vyama vya Kiislamu vya Wanafunzi wa Iran vimelaani vikali mauaji na hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India.

  • India yatakiwa kuheshimu haki za raia wote wakiwemo Waislamu

    India yatakiwa kuheshimu haki za raia wote wakiwemo Waislamu

    Mar 09, 2020 07:33

    Kituo cha Mawakili cha Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimelaani vikali mauaji yanayofanywa nchini India dhidi ya Waislamu na kuitaka serikali ya nchi hiyo kuheshimu misingi na kanuni za haki za raia wote wa nchi hiyo wakiwemo Waislamu.

  • Tume ya Haki za Binadamu Iran: Serikali ya India ihakikishe haki za kiutu na kiraia za Waislamu zinalindwa

    Tume ya Haki za Binadamu Iran: Serikali ya India ihakikishe haki za kiutu na kiraia za Waislamu zinalindwa

    Mar 07, 2020 04:20

    Tume ya Haki za Binadamu ya Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India na imeitaka serikali ya nchi hiyo ihakikishe haki za kiutu na kiraia za Waislamu hao zinalindwa.

  • Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Mar 06, 2020 09:07

    Ayatullah Nouri Hussein Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wa juu wa kidini nchini Iran amelaani ukatili na mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India na kukosoa kimya cha vyombo vya habari duniani kuhusiana na mauaji hayo.

  • Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Mar 05, 2020 09:55

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Spika wa Bunge la Iran aitaka India ihitimishe mzozo uliopo kwa njia za amani

    Spika wa Bunge la Iran aitaka India ihitimishe mzozo uliopo kwa njia za amani

    Mar 05, 2020 04:48

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu nchini India na ameitaka serikali ya New Delhi, itumie mbinu na uwezo wote kwa ajili ya kuhitimisha mzozo uliopo kwa njia za amani.

  • Wahindu wenye kufurutu ada wachoma moto misikiti nchini India

    Wahindu wenye kufurutu ada wachoma moto misikiti nchini India

    Mar 04, 2020 09:46

    Serikali ya India imefichua habari ya kuchomwa moto kikamilifu misikiti tisa na mamia ya nakala za Qur'an Tukufu katika shambulizi lililofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Waislamu.

  • Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India

    Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India

    Mar 03, 2020 04:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS