-
Jumuiya ya Kimataifa ya Wahadhiri wa Kiislamu yalaani mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 02, 2020 22:56Jumuiya ya Kimataifa ya Wahadhiri Waislamu wa Vyuo Vikuu (International Association of Muslim University Professors) imelaani mauaji yanayofanyika nchini India dhidi ya Waislamu na kutoa wito wa kukomeshwa kimya cha kimataifa kuhusiana na jinai hiyo.
-
Iran yasikitishwa na ukandamizaji dhidi ya Waislamu nchini India
Mar 02, 2020 09:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake kuhusiana na ukandamizaji wanaofanyiwa Waislamu nchini India na kusema kuwa, Tehran inaitambua India kuwa ni nchi ya kuvumiliana kidini; hivyo habari za kuwepo ukandamizaji dhidi ya Waislamu nchini humo ni suala linalotia wasiwasi mkubwa.
-
Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India
Mar 01, 2020 04:26Mamia ya raia wa Marekani wenye asili ya India wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya Marekani kulaani na kupinga ghasia zilizopelekea makumi ya watu kuuawa katika mji mkuu wa India, New Delhi.
-
Wasiwasi wa Pakistan kuhusu mkataba wa mauzo ya silaha baina ya India na Marekani
Feb 29, 2020 23:04Serikali ya Pakistan imetahadharisha kuhusu athari mbaya za mkataba wa kijeshi uliotiwa saini baina ya nchi za India na Marekani.
-
Kumalizika ziara ya Trump nchini India
Feb 27, 2020 04:38Ziara ya siku mbili ya Rais Donald Trump wa Marekani huko India imemalizika katika hali ambayo hakujatangazwa habari yoyote kuhusu kufikiwa mapatano makubwa ya kibiashara kati ya nchi mbili hizo.
-
Ghasia zashtadi India, waliouawa New Delhi wafika 24
Feb 26, 2020 22:55Idadi ya waliouawa katika ghasia zilizosababishwa na sheria tatu yenye kuwabagua Waislamu katika mji mkuu wa India, New Delhi imeongezeka na kufikia watu 24.
-
Ghasia za umwagaji damu baina ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria mpya ya uraia nchini India
Feb 26, 2020 22:54Kwa akali watu 23 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa katika mji mkuu wa India New Delhi, kufuatia ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.
-
Watu 13 wafariki dunia na 150 wajeruhiwa katika ghasia za mjini New Delhi, India
Feb 26, 2020 01:10Watu 13 wamefariki dunia na wengine 150 wamejeruhiwa katika ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.
-
Guterres ataka kutekelezwa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Kashmir
Feb 20, 2020 08:23Katika siku ya mwisho ya safari yake nchini Pakistan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekumbusha kadhia ya eneo la Kashmir na kuitaka serikali ya India iheshimu azimio la baraza la Usalama la umoja huo kuhusiana na Kashmir.
-
Alkhamisi, tarehe 20 Februari, 2020
Feb 20, 2020 00:52Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Jamadithani 1441 Hijria sawa na Februuari 20 mwaka 2020.