-
India yapinga pendekezo la UN la kuwa mpatanishi katika mzozo wa Kashmir
Feb 17, 2020 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya India amepinga pendekezo la Umoja wa Mataifa la kuwa mpatanishi katika utatuzi wa mgogoro wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa nchi hiyo.
-
Waziri Kiongozi wa Uttar Pradesh: Waislamu walishwe risasi badala ya biriani
Feb 06, 2020 08:55Waziri Kiongozi wa jimbo la Uttar Pradesh nchini India kutoka chama cha Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametoa matamshi ya kibaguzi na kichochezi dhidi ya Waislamu akitaka wauawe.
-
Iran na India; juhudi kwa ajili ya kutumia sarafu ya taifa na kupanua ushirikiano wa kiuchumi
Jan 17, 2020 09:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo mjini New Delhi na Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India na kujadili suala la kupanua ushrikiano wa kiuchumi baina ya nchi mbili na kuchukua hatua za kuondoa baadhi ya matatizo yaliyopo katika njia hiyo.
-
India yasema ina hamu ya kuimarisha uhusiano wake na Iran
Jan 17, 2020 04:10Waziri Mkuu wa India amesema nchi yake ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga tofauti.
-
Baridi na maporomoko ya theluji yaua watu 67 nchini Pakistan
Jan 14, 2020 08:38Kwa akali watu 67 wamepoteza maisha kutokana na baridi kali ya msimu wa kipupwe pamoja na maporoko ya theluji katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan ndani ya masaa 24 yaliyopita.
-
Uungaji mkono wa chama cha Kongresi nchini India kwa maandamano ya wananchi ya kupinga sheria mpya ya uraia
Jan 12, 2020 21:06Katibu Mkuu wa Chama cha Kongresi nchini India sambamba na kutoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa maandamano ya kupinga sheria mpya ya uraia, ametangaza kwamba chama hicho kinaunga mkono maandamano hayo ya wananchi.
-
Majimbo Tofauti nchini India yakataa kutekeleza sheria mpya ya uraia
Dec 29, 2019 23:12Mawaziri viongozi wa majimbo tofauti nchini India wamekataa kutekeleza sheria mpya ya uraia.
-
Ali Shamkhani: Vikwazo na ugaidi mikakati miwili ya Marekani dhidi ya mataifa huru
Dec 24, 2019 00:55Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, vikwazo na ugaidi ni mikakati miwili inayotumiwa na Marekani dhidi ya mataifa huru na yasiyokubali kuburuzwa na kuongeza kwamba, kuweko ushirikiano wa mataifa ya eneo kunaweza kuzuia kupata mafanikio vitisho hivi viwili vilivyo dhidi ya ubinadamu.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa Iran na India
Dec 23, 2019 09:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa na kuimarishwa zaidi uhusiano wa taifa hili na nchi ya India.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Watu wanakufa India kwa sababu ya sheria ya uraia "isiyo na ulazima"
Dec 21, 2019 04:10Wakati vyombo vya habari vinaripoti kuwa idadi ya watu waliouawa nchini India kulalamikia Sheria ya Marekebisho ya Uraia imefikia 15, Waziri Mkuu wa Malyasia Mahathir Muhammad amehoji "ulazima" wa sheria hiyo inayoaminika kuwa inalenga kuwabagua Waislamu.