-
6 wauawa katika maandamano ya kupinga sheria tata dhidi ya Waislamu India
Dec 15, 2019 09:04Watu sita wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga sheria iliyo dhidi ya Waislamu nchini India, huku taasisi za kimataifa, nchi na shakhsia mbalimbali duniani wakiendelea kukosoa hatua ya kupasishwa sheria hiyo tata.
-
Maandamano yashtadi nchini India kufuatia kupitishwa muswada ulio dhidi ya Waislamu
Dec 14, 2019 21:42Maandamano ya kupinga muswada wa uraia nchini India na ambao uko dhidi ya Waislamu, yameendelea kupanua wigo wake ambapo baada ya majimbo ya kaskazini mashariki, pia yamesambaa katika maeneo mengine kama vile Uttar Pradesh, Bihar na New Delhi.
-
Mahakama ya India yawatoa hatiani wahusika wa mauaji ya Waislamu 1,000 akiwemo Waziri Mkuu Modi
Dec 13, 2019 04:34Katika kile kinachotajwa kama hatua nyingine iliyo dhidi ya Waislamu, mahakama ya India imetoa hukumu ya kuwatoa hatiani waliokuwa viongozi wa jimbo la Gujarat, akiwemo waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo Narendra Modi ambao walihusika na mauaji ya Waislamu wapatao elfu moja wa jimbo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan akosoa vikali muswada wenye utata wa serikali ya India dhidi ya Waislamu
Dec 12, 2019 04:27Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa kupasishwa muswada nchini India ambao unawapa uraia watu wasiokuwa Waislamu, ni ukiukaji wa haki za binaadamu.
-
Mkasa wa moto kiwandani waua watu 43 nchini India
Dec 08, 2019 08:31Makumi ya watu wameuawa katika mkasa wa moto uliotokea katika jengo la ghorofa nne lenye kiwanda katika eneo la kaskazini la Filimistan huko New Delhi, mji mkuu wa India.
-
India yafunga kanali za televisheni za Kiislamu Kashmir
Nov 18, 2019 08:04India imepiga marufuku kurushwa matangazo ya kanali za televisheni za nchi za Kiislamu zikiwemo Iran, Uturuki na Malaysia katika eneo la Kashmir iliyo chini ya udhibiti wa serikali ya New Delhi.
-
India yapiga marufuku sherehe za maulidi ya Mtume (saw) katika eneo la Kashhmir
Nov 11, 2019 12:05Serikali ya India imepiga marufuku sherehe zote za mazazi ya Mtume Muhammad (saw) pamoja na maadhimisho ya Wiki ya Umoja katika eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa serikali ya New Delhi.
-
Kimbunga cha Bulbul chauwa watu 20 katika pwani za India na Bangladesh
Nov 11, 2019 04:31Watu 20 wameaga dunia na wengine zaidi ya milioni mbili wameachwa bila ya makazi kufuatia kimbunga kikali cha Bulbul kuyaathiri maeneo ya pwani ya India na Bangladesh huku kikiambatana na upepo mkali na mvua kubwa.
-
Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri
Nov 09, 2019 12:09Katika hukumu ya uonevu na upendeleo wa wazi iliyotolewa kwa manufaa ya Wahindu wenye misimamo ya chuki na kufurutu mpaka, Mahakama ya Juu Kabisa ya India imeamua kuwapatia Wahindu eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri ili wajenge hekalu lao la Ram.
-
Pakistan yaitaka India ikomeshe ukandamizaji wa askari wake dhidi ya wakazi wa Kashmir
Nov 09, 2019 04:27Mkuu wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa Pakistan, ameitahadharisha serikali ya India kutokana na ukandamizaji wa askari wa nchi hiyo kuwalenga wakazi wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa New Delhi.