Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Nov 03, 2019 04:21

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalikuwa natija ya juhudi za kidiplomasia na mazungumzo ya awamu kadhaa kati ya Iran na kundi la 5+1; hivi sasa yanakabiliwa na hatari kubwa kufuatia hatua ya Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano hayo na kutotekeleza ahadi nchi za Ulaya; hatua iliyokabiliwa na radiamali kali ya Iran ambayo pia imeamua kupunguza hatua kwa hatua uwajibikaji wake ndani ya makubaliano hayo.

  • Pakistan yalaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Kashmir katika sehemu mbili

    Pakistan yalaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Kashmir katika sehemu mbili

    Nov 01, 2019 08:20

    Serikali ya Pakistan imelaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Jammu na Kashmir katika sehemu mbili.

  • India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri

    India yazidisha hatua kali za usalama kabla ya kuhitimishwa kesi ya Msikiti wa Babri

    Oct 15, 2019 00:35

    Serikali ya India imezidisha hatua kali za usalama katika mji wa Ayodhya, jimbo la Uttar Pradesh huko kaskazini mwa nchi hiyo kabla ya kutolewa uamuzi muhimu sana wa Mahaka Kuu ya nchi hiyo juu ya mzozo wa eneo la Msikiti wa Babri linalogombaniwa baina ya Waislamu na Wahindu.

  • Ahadi ya India ya kuondoa marufuku ya mawasiliano eneo la Kashmir

    Ahadi ya India ya kuondoa marufuku ya mawasiliano eneo la Kashmir

    Oct 13, 2019 23:07

    Baada ya kupita zaidi ya miezi miwili ya kutekelezwa marufuku ya mawasiliano katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India, hatimaye serikali ya New Delhi imetangaza kufuta baadhi ya vizuizi vilivyowekwa katika uwanja huo.

  • Saudia yalazimika kununua mafuta kutoka India baada ya kushambuliwa na jeshi la Yemen

    Saudia yalazimika kununua mafuta kutoka India baada ya kushambuliwa na jeshi la Yemen

    Oct 05, 2019 23:18

    Baada ya wanamapambano wa Yemen kushambulia na kuteketeza taasisi za mafuta za Saudi Arabia, sasa Shirika la Taifa la Mafuta la nchini hiyo ARAMCO limekumbwa na mgogoro mkubwa kiasi cha kulazimika kununua mafuta kutoka India ambayo nayo inanunua mafuta kutoka Iran.

  • Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia

    Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia

    Oct 04, 2019 05:33

    Mwenendo wa Marekani wa kuchukua hatua za upande mmoja na nchi hiyo kupanua ubeberu wake katika kipindi cha Rais Donald Trump, umeshika kasi zaidi na sasa umechukua sura mpya.

  • Mvua na mafuriko yaua karibu watu 150 nchini India

    Mvua na mafuriko yaua karibu watu 150 nchini India

    Oct 01, 2019 04:38

    Watu 148 wamepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kwa siku tano sasa nchini India.

  • Onyo la kamanda wa jeshi la India kwa Pakistan

    Onyo la kamanda wa jeshi la India kwa Pakistan

    Sep 25, 2019 04:34

    Kamanda wa jeshi la India ameituhumu serikali ya Pakistan kuwa inaunga mkono ugaidi.

  • India yawazuia Waislamu wa Kashmir kumuomboleza Imam Hussein AS

    India yawazuia Waislamu wa Kashmir kumuomboleza Imam Hussein AS

    Sep 09, 2019 01:38

    India imetangaza sheria ya kutotoka nje katika baadhi ya maeneo ya Kashmir, sambamba na kuwapiga marufuku Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo hilo inalolidhibiti kushiriki katika marasimu yoyote ya kidini.

  • Ayatullah Hamedani awataka Waislamu wa Kashmir waendeleze muqawama

    Ayatullah Hamedani awataka Waislamu wa Kashmir waendeleze muqawama

    Sep 08, 2019 07:48

    Mwanachuoni mashuhuri hapa nchini Iran sambamba na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuwaunga mkono Waislamu wanaodhulumiwa wa eneo la Kashmir, amewataka Wakashmir waendelee kusimama kidete na kudumisha moyo wa muqawama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS