-
Waziri Mkuu wa Pakistan aapa kutoa jibu kali kwa India kuhusu Kashmir
Sep 06, 2019 22:02Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema serikali yake itatoa jibu kali zaidi linalowezekana katika kukabiliana na hatua za India huko Kashmir, lakini akasisitiza kuwa, nchi yake haitaki vita na India.
-
Jeshi la Pakistan: Vita vitaibuka kutokana na hatua za India huko Kashmir
Sep 05, 2019 00:05Jeshi la Pakistan limetahadharisha kuwa hatua ambazo India imechukua huko Kashmir zinaweza kuchochea vita katika eneo.
-
Mgogoro wa Kashmir.. Imran Khan atahadharisha juu ya kutokea vita vya dunia vya nyuklia
Aug 31, 2019 22:13Waziri Mkuu wa Pakistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro unaoendelea kushadidi baina ya nchi hiyo na India na kutahadharisha kwamba, kuna uwezekano wa kutokea vita vipya vya dunia kwa kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi hizo mbili.
-
Wakati Waislamu Kashmir wanakandamizwa, UAE yamtunukia Waziri Mkuu wa India nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima
Aug 25, 2019 07:59Hatua ya serikali ya Imarati (UAE) ya kumtunukia Waziri Mkuu wa India Narendra Modi nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima imeamsha moto mkubwa wa malalamiko na ukosoaji wa wanaharakati wa kutetea haki kutokana na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na serikali yake dhidi ya Waislamu wa eneo la Kashmir.
-
Independent: India inafanya mikakati ya kuwapokonya uraia mamilioni ya Waislamu
Aug 19, 2019 22:05Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kwamba, serikali ya India inapanga mikakati ya kuwapokonya uraia watu wasiopungua milioni nne aghlabu yao wakiwa ni Waislamu na kuwatambua kuwa ni wahajiri wa kigeni.
-
Wakashmir 4,000 wamekamatwa na serikali ya India tangu Kashmir inyang'anywe mamlaka ya kujiendeshea mambo yake
Aug 18, 2019 22:13Maelfu ya watu wametiwa nguvuni katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India kwa hofu ya kuzuka machafuko baada ya serikali ya New Delhi kutengua mamlaka maalumu liliyokuwa nayo eneo hilo ya kujiendeshea mambo yake.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu eneo la Kashmir chamalizika bila ya natija yoyote
Aug 17, 2019 03:41Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitshwa kujadili uamuzi ulioibua makelele wa serikali ya India wa kubatilisha mamlaka maalumu ya utawala wa ndani eneo la Kashmir kimemalizika bila ya matunda yoyote.
-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir
Aug 15, 2019 22:05Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Iran yaunga mkono kuanza mchakato wa kumtibu kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Aug 13, 2019 06:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa kuanza kumpatia matibabu Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kueleza kufurahishwa na hatua ya kuelekea India Sheikh Zakzaky na mkewe kwa ajili ya matibabu.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India
Aug 07, 2019 03:30Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuwa, kuna uwezekano wa kutokea vita baina ya nchi yake na India baada ya New Delhi kufuta kifungu cha katiba kinacholipa mamlaka ya utawala wa ndani jimbo linalozozaniwa na Kashmir.