Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • India yatayarisha mazingira ya kulitwaa kikamilifu eneo la Kashmir

    India yatayarisha mazingira ya kulitwaa kikamilifu eneo la Kashmir

    Aug 05, 2019 21:57

    Serikali ya India imefuta sheria inayolipa hali makhsusi eneo la Kashmir linalozozaniwa baina ya nchi hiyo na Pakistan katika jitihada za kuliunganisha kikamilifu na ardhi ya India.

  • Pakistan: Tupo tayari kufanya mazungumzo na India

    Pakistan: Tupo tayari kufanya mazungumzo na India

    Jul 26, 2019 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan amesema kuwa Islamabad ipo tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya amani na India.

  • India yajibu mapigo, yatangaza ushuru wa juu kwa bidhaa za Marekani

    India yajibu mapigo, yatangaza ushuru wa juu kwa bidhaa za Marekani

    Jun 16, 2019 02:22

    Serikali ya India imetangaza ushuru wa juu wa forodha kwa bidhaa 28 za Marekani, ikiwa ni radimali ya nchi hiyo ya Asia kwa vikwazo vya kibiashara vya Washington dhidi yake.

  • Ushindi wa Modi katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa India

    Ushindi wa Modi katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa India

    May 24, 2019 07:08

    Chama tawala cha Bharatiya Janata Party BJP cha nchini India kinachoongozwa na Narendra Modi kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa hivi karibuni wa bunge kwa kujizolea viti 343 kati ya viti vyote 542 vya bunge hilo.

  • Narendra Modi apata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu India

    Narendra Modi apata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu India

    May 24, 2019 03:44

    Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliochukua zaidi ya mwezi mmoja ambapo watu takribani milioni 600 walipiga kura.

  • India na Pakistan zatangaza azma ya kutatua tofauti baina yao

    India na Pakistan zatangaza azma ya kutatua tofauti baina yao

    May 23, 2019 03:17

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa India na Pakistan wametangaza azma ya kutatua tofauti za nchi zao kufuatia mgogoro ulioibuka hivi karibuni.

  • Onyo la India kwa Pakistan kutokana na kukiuka usitishaji vita baina yao

    Onyo la India kwa Pakistan kutokana na kukiuka usitishaji vita baina yao

    Mar 09, 2019 03:19

    Wizara ya Ulinzi ya India imeitahadharisha Pakistan kuhusiana na kukiuka usitishaji vita katika eneo la mpaka la Kashmir.

  • India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    Mar 06, 2019 02:28

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza mashambulizi na vita vyake vya kibiashara dhidi ya mataifa mengine duniani kupitia kuziongezea ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia Marekani na hivyo kusababisha vurugu kubwa katika miamala ya kibiashara ya kimataifa.

  • Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Mar 05, 2019 10:50

    Pakistan inasema imeitimua kwa mafanikio nyambizi ya Jeshi la Majini la India ambayo ilijaribu kuingia katika mipaka yake ya baharini huku hali ikiwa bado ni tete baina ya madola hayo jirani yanayohasimiana na ambayo yana silaha za nyuklia.

  • OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    Mar 03, 2019 04:12

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imepasisha azimio linalozitaka India na Pakistan zijiepushe na vitendo vinavyoweza kuendelea kuchochea taharuki baina yao, sambamba na kuupatia ufumbuzi mgogoro baina ya nchi mbili hizo jirani kwa njia za amani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS